Year: 2022

Jamii

Viongozi wa dini watakiwa kulea vijana katika maadili

MAKAMU wa Rais, Dk Phillip Mpango amewataka viongozi wa dini nchini kuwafundisha na kulea vijana katika maadili mema na wathamini…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Raia wa Burundi, Uganda waokolewa dhidi ya ulanguzi

RAIA 22 kutoka Burundi na Uganda wameokolewa kutoka katika mashirika yanayofanya biashara na ulanguzi wa binadamu huko Laos, Kusini Mashariki…

Soma Zaidi »
Tanzania

640 wapata ufadhili wa masomo wa Samia

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kesho inatarajia kutangaza majina ya  wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia…

Soma Zaidi »
Jamii

Hiki ndicho wanachojivunia wanawake wanaotumia uzazi wa mpango

WAKATI leo mashirika ya serikali, sekta ya binafsi, vyombo vya habari, na watu binafsi wanaadhimisha Siku ya Uzazi wa Mpango,…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Ndayishimiye: Jumuiya ya Kimataifa isaidie DRC

RAIS Evariste Ndayishimiye ameahidi kwamba nchi yake itaisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kupambana na makundi ya waasi katika…

Soma Zaidi »
Jamii

HAMENYA MPEMBA: Mtanzania anayeng’ara kwa utafiti wa aina yake China

Jiografia (CBG). Baadaye alihamia Shule ya Sekondari  Milambo, mjini Tabora na kuhitimu kidato cha sita kwa daraja la pili. Alivyokosa…

Soma Zaidi »
Biashara

TPA yaiwekea mikakati Bandari ya Bagamoyo

MAMLAKA  ya Usimaizi Bandari nchini (TPA), imesema iko katika maandalizi ya  ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, itakayosaidia utoaji wa huduma…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Watakiwa kusimamisha ujenzi Tunguu

WAZIRI wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar, Rahma Kassim Ali, amewataka wote walivamia eneo la Serikali, liliopo Tunguu Mkoa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Maandalizi Siku ya Chakula yanoga Pemba

WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shaame, amesema maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani itakayoadhishwa…

Soma Zaidi »
Biashara

TTB, Njombe waipangia mikakati hifadhi ya Kitulo

BODI ya Utalii nchini (TTB), imepanga kuinua utalii uliopo  Nyanda za Juu  Kusini, husuani mkoa wa Njombe katika hifadhi  ya…

Soma Zaidi »
Back to top button