Year: 2022

Michezo na Burudani

Kampeni Ngoma Juu ya Ngoma yazinduliwa

Kampuni ya Audiomack, imezindua kampeni inayojulikana kama Ngoma Juu Ya Ngoma, inayolenga kukuza ubunifu na kuuza muziki wa kitanzania na…

Soma Zaidi »
Siasa

Kikwete ampongeza Samia ukusanyaji maoni

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha…

Soma Zaidi »
Afya

Madaktari MOI wafanya tathmini huduma Mtwara

JOPO la madaktari bingwa wabobezi sita kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), wamefika Hospitali ya Rufaa ya Kanda…

Soma Zaidi »
Afya

Norway yaguswa huduma afya ya uzazi 

SERIKALI ya Norway imeitaja Tanzania, kuwa miongoni mwa nchi itakayofikia maazimio ya kimataifa ya kuhakikisha haki ya upatikanaji wa huduma…

Soma Zaidi »
Afya

Wachangia Sh Mil 100 kusaidia watoto wenye saratani

TAASISI ya Mo Dewji inayoshughulikia masuala ya  elimu, maendeleo ya jamii, afya na uwezeshaji wa kijinsia jana ilikabidhi hundi ya…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Serikali yatoa maelekezo nyumba za Kikwajuni

WAZIRI wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar, Rahma Kassim Ali, amewataka wakazi wa nyumba za maendeleo kuhakikisha wanalipa kodi,…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Miundombinu ya maji, umeme kuboreshwa Pemba

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetenga sh bilioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza miundombinu ya maji, umeme, mahema, uzio pamoja…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Rais Samia aomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II

Rais Samia Suluhu Hassan, leo amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II (96) wa Uingereza,  aliyefariki dunia…

Soma Zaidi »
Kanda

Madiwani Butiama kuubana mgodi mahakamani

MADIWANI wa Kata za Kyanyari, Kamugegi na Kukirango zinazopakana na Mgodi wa Dhahabu wa Cata Mine,Wilaya ya Butiama mkoani Mara,…

Soma Zaidi »
Dini

Mkuchika apongeza taasisi za dini

WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, George Mkuchika amezipongeza taasisi za dini nchini kwa kujitoa kushiriki katika kutoa…

Soma Zaidi »
Back to top button