Year: 2022

Africa

Mahakama yaungana na Wakenya: Ruto ni Rais

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imethibitisha ushindi wa Dk William Ruto kuwa Rais wa Kenya katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti…

Soma Zaidi »
Maoni

Kila la heri Wakenya

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imetupa mapingamizi tisa yaliyowasilishwa na mgombea wa urais kwa tiketi ya Azimio la Umoja, Raila…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mwanamama ashinda Uwaziri Mkuu Uingereza

LIZ Truss amechaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza baada ya kumshinda mpinzani wake, Rishi Sunak kwa kupata kura 81,326 dhidi…

Soma Zaidi »
Kanda

Watu wawili wauawa kambini TFS

WATU wawili wamekufa na wengine sita wamejeruhiwa baada ya watu wanaoaminika ni wafugaji kuvamia kambi ya Wakala ya Huduma za…

Soma Zaidi »
Africa

Viongozi Afrika wajadili kukabili mabadiliko tabianchi

WAZIRI wa Nishati, January Makamba amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa viongozi wa dunia unaojadili programu ya Afrika…

Soma Zaidi »
Africa

Kamati ya Bunge yapongeza maono ya EAC

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imeipongeza Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kutafsiri…

Soma Zaidi »
Tanzania

Walioiba fedha Z’bar kukiona, ZAEC kufumuliwa

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema watendaji wote wa serikali waliotajwa kwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi…

Soma Zaidi »
Jamii

Mtemi wa Wagogo atamba kuita, kusimamisha mvua

MTEMI Yassin Biringi wa Dodoma Makulu ambaye alikabidhiwa kiti hicho hivi karibuni, amesema miongoni mwa vitu alivyoachiwa ni mawe ya…

Soma Zaidi »
Dodoma

RC akagua miradi Kongwa

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amefanya ziara wilayani Kongwa iliyohusisha kukagua mradi wa maji pamoja na wa kituo…

Soma Zaidi »
Kanda

Viongozi 9 kuchunguzwa baraza la maadili

SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imepeleka malalamiko kwenye baraza la maadili yanayohusu tuhuma za ukiukwaji wa maadili kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button