Year: 2022

Kanda

Mv Mwanza yakaribia kuinogesha Kanda ya Ziwa

MELI ya Mv Mwanza ‘Hapa kazi’ ni meli kubwa kuliko zote zilizowahi kuelea katika maziwa  ya Victoria, Tanganyika na Nyasa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Majaliwa asisitiza uadilifu ujenzi mji wa serikali

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa…

Soma Zaidi »
Biashara

Kilio cha wavuvi Mwanza chamfikia Kinana

WAVUVI wa Mikoa ya Mwanza na Mara, wamewasilisha kilio chao kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, wakilalamika…

Soma Zaidi »
Kanda

Polisi yaonya magari ya shule yasiyokaguliwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha, limefanya ukaguzi wa magari ya shule mbalimbali mkoani humo, ambapo zaidi ya magari 150…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mtemi wa Wagogo adai ana uwezo wa kuita mvua

MTEMI Yassin Biringi wa Dodoma Makulu, amedai miongoni mwa vitu alivyoachiwa ni mawe ya tambiko yanayotumika kuita mvua pale zinapochelewa,…

Soma Zaidi »
Dodoma

‘Tumieni fursa ya msamaha kusalimisha silaha haramu’

SERIKALI imewataka wananchi wote wanaomiliki silaha  kinyume cha sheria, watumie fursa ya msamaha kusalimisha silaha wanazozimiliki isivyo halali. Kauli hiyo…

Soma Zaidi »
Biashara

BRELA waombwa kusaidia wafanyabiashara Mara

RAIS wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA),  Paul Koy, ameishauri Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA),…

Soma Zaidi »
Africa

Odinga atoa msimamo uamuzi wa mahakama

MGOMBEA urais wa Kenya kwa tiketi ya Muungano wa Azimio, Raila Odinga amesema anaheshimu uamuzi wa Mahakama ya Juu ya…

Soma Zaidi »
Kanda

CCM wapongeza ujenzi Daraja la Magufuli Mwanza

CHAMA  Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Daraja hilo linalounganisha mikoa ya…

Soma Zaidi »
Africa

Mahakama Kenya yabariki ushindi wa Ruto

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya, imebariki ushindi wa William Ruto kuwa Rais wa nchi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya,…

Soma Zaidi »
Back to top button