Year: 2022

Siasa

Tamisemi yamsimamisha DED achunguzwe

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri…

Soma Zaidi »
Jamii

Samia atoa pole kifo cha mtoto wa mzee Mwinyi

RAIS Samia Suluhu Hassan amempa pole Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi kwa kufiwa na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yaongeza kasi madaraja kukuza uchumi   (Kimkakati)

SERIKALI imejizatiti kuendeleza na kukamilisha ujenzi wa madaraja nchini yakiwemo ya kimkakati katika mwaka huu wa fedha 2022/23. Ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Uturuki yaipongeza Tanzania kukabili ugaidi

BALOZI wa Uturuki nchini, Dk Mehmet Gulluoglu amesema serikali ya nchi yake itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika masuala…

Soma Zaidi »
Biashara

Basi lisilotoa tiketi mtandao faini 250,000/-

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kuanzia leo mabasi yote ya abiria ambayo hayatakuwa yamewapa abiria wake tiketi…

Soma Zaidi »
Kanda

Polisi watatu mbaroni wakidaiwa kupora mil 3/-

MAOFISA watatu wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha akiwamo Mkuu wa Kituo cha Polisi Engutoto, Mkaguzi Msaidizi Mahamud Jakaya wamewekwa…

Soma Zaidi »
Utalii

China yazidi kutangaza utalii wa Tanzania

UBALOZI wa Tanzania nchini China umesema filamu ya ‘Tanzania: The Royal Tour’ imeoneshwa katika mtandao maarufu wa Haokan nchini China.…

Soma Zaidi »
Dodoma

Samia aungwa mkono upelelezi wa kesi

WADAU wa masuala ya sheria wameunga mkono agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwamba polisi wamalize upelelezi kwanza kabla ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Tuisila Kisinda arejea Jangwani

WINGA wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Tuisila Kisinda amerejea Jangwani, Rais wa Klabu hiyo Mhandisi Hersi…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania, Qatar kushirikiana sekta ya Afya

UJUMBE wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Hamad Medical Corporation (HMC) Jijini Doha,…

Soma Zaidi »
Back to top button