Year: 2023

Uwekezajia

Samia ahamasisha Uwekezaji

PWANI: Rais Samia Suluhu Hassan, amesema milango ipo wazi kwa wawekezaji wanaotaka kuwekeza Tanzania katika harakati za kuendelea kukuza uchumi…

Soma Zaidi »
Chaguzi

CCM yashinda kata zote sita Udiwani

MBEYA,Mbarali: Chama cha Mapinduzi (CCM), licha ya kushinda Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Mbarali kwa mgombea wake Bahati Ndingo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kampuni yatoa vifaa kukuza michezo shuleni

KAMPUNI ya Isamilo Supplies Ltd imeungana na Halmashauri ya Mji wa Geita kusaidia kuinua sekta ya michezo kwa kujitolea vifaa…

Soma Zaidi »
Infographics

Maaskofu wakemea mahubiri ya uongo

MAASKOFU wa Kanisa la Anglikan Tanzania wamekemea chimbuko la makanisa yanayoeneza mahubiri ya uongo na kujinufaisha kupitia ongezeko la watanzania…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwalimu mbaroni kosa la kumnajisi mwanafunzi

JESHI la polisi mkoani Mtwara linamshikilia mwalimu wa shule ya msingi ya Mkalapa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kwa…

Soma Zaidi »
Infographics

UVCCM Arusha: Gambo aombe radhi

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha umemtaka Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo…

Soma Zaidi »
Africa

Kagame autaka tena urais

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema atawania muhula wa nne katika uchaguzi wa rais mwaka ujao. – “Ndiyo, hakika mimi…

Soma Zaidi »
Jamii

RC aagiza tingatinga mbovu itengenezwe

ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha DC, Suleiman Msumi kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ajali: Mashabiki wanne Namungo wapoteza maisha

UONGOZI wa Namungo FC umetoa taarifa kuwa gari la mashabiki wake lililokuwa linatoka Lindi kwenda Dar es salaam kuishangilia timu…

Soma Zaidi »
Jamii

Wenye ulemavu wa macho waomba kusaidiwa Bima za Afya

MANYARA:Jamii ya watu wenye ulemavu wa macho wameomba kusaidiwa Bima Maalum ya Afya ili kuwasaidia katika matibabu. Mwenyekiti wa Chama…

Soma Zaidi »
Back to top button