Year: 2023

Michezo na Burudani

Rubani wa burudani mwenye ndoto kimataifa

MWANAIDI Msuya maarufu kama ‘Dj Sweetlady’ anayejihusisha na shughuli ya uchezeshaji wa muziki amesema anajipanga kuwa Dj wa kimataifa huku…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi Chuo na Wananchi

KATAVI: AGIZO la Rais Samia Suluhu Hassan la kumtaka Waziri mwenye dhamana ya Ardhi Jerry Silaa kumaliza mgogoro wa ardhi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Zaidi ya Sh bilioni 48 kutumika ukarabati wa Meli

MWANZA: Serikali kupitia Kampuni ya Huduma za Meli Nchini (MSCL), imesaini mikataba mitatu yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni…

Soma Zaidi »
Siasa

Zitto ataka masoko ya wakimbizi kuimarisha uchumi

KIGOMA; Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka idara ya wakimbizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya…

Soma Zaidi »
Utalii

The Grand Kagera kuifungua Kagera

KAGERA: Wasanii wa Filamu ,viongozi wa serikali na wadau mbalimbali wa utalii zaidi ya 100 wanatarajia kufanya ziara ya kitalii…

Soma Zaidi »
Africa

George Weah akubali kushindwa

RAIS wa Liberia George Weah amekubali kushindwa katika uchaguzi na kiongozi wa upinzani Joseph Boakai baada ya ushindani mkali wa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Algeria yamteua balozi mpya nchini Uhispania  

ALGERIA imemteua balozi mpya nchini Uhispania, baada ya karibia miezi 20 ya msuguano wa kidiplomasia uliosababishwa na ‘U-turn’ wa Madrid…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Haaland aumia

MSHAMBULIAJI wa Norway, Erling Haaland atakosa mechi ya Norway dhidi ya Scotland kutokana na jeraha lake la kifundo cha mguu.…

Soma Zaidi »
Madini

Mavunde aguswa na kilio cha wachimbaji wadogo

MANYARA: SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imesema inatambua changamoto mbalimbali zinazowakabili wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wilayani Simanjiro mkoani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa awafunda Mameneja TANROADS

DODOMA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amewataka Mameneja wa mikoa wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuhakikisha wanaendelea na mapambanona…

Soma Zaidi »
Back to top button