Year: 2023

Tanzania

DCEA yabaini biskuti zilizochanganywa na bangi Dar

DAR ES SALAAM; MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imebaini uwepo wa kiwanda cha kutengeneza biskuti zilizochanganywa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mfanyabiashara Geita auawa na walinzi dukani kwake

MFANYABIASHARA wa vifaa vya pikipiki katika eneo la mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani Geita, Alex Mayaya (40) ameuwawa…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Wanafunzi Chuo cha IAA wapania makubwa TEHAMA

ARUSHA: WANAFUNZI wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) wamepata fursa ya kuonesha ubunifu na uvumbuzi katika TEHAMA katika Kongamano la…

Soma Zaidi »
Tanzania

Taarifa za uongo zawatesa Zimamoto Geita

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita limelalamikia kukithiri kwa taarifa za uongo zinazotolewa na Wananchi kupitia namba ya dharura…

Soma Zaidi »
Tanzania

Aiahidi Yanga ng’ombe watano

MWANACHAMA wa klabu ya Yanga kutoka mjini Geita, Husein Makubi (Mwananyanzala) ameahidi kutoa zawadi ya ng’ombe watano kwa timu ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mauaji yapungua asilimia 34 Geita

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amesema kuimarika kwa hali ya ulinzi na usalama mkoani hapa imesaidia kupunguza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Madereva wafundwa kuzingatia sheria

MADEREVA wametakiwa kutii sheria za usalama barabarani huku ikielezwa asilimia kubwa ya ajali zinatokana na harakati za kulipita gari jingine…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ujenzi daraja la Magufuli wafikiwa asilimia 78

MENEJA wa Wakala ya Barabara (TANROADS) mkoani Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amesema ujenzi wa daraja la Magufuli (Kigongo Busisi) limefikia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mawakili 10 kumtetea mjane wa nyama ya swala

CHAMA cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa kimewataja mawakili 10 kiliowapanga katika maandalizi hadi usikilizwaji wa rufaa ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kapinga ataka kasi ya Kuunganisha Umeme vijijini

DODOMA: WAZIRI wa Nishati, Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi vijijini katika…

Soma Zaidi »
Back to top button