Year: 2024

Mitindo & Urembo

Mobeto apokea ubalozi mpya.

DAR-ES-SALAAM: Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameendelea kufanya vizuri katika kazi zake na kupata ubalozi wa bidhaa ya Spaghetti huku akisema juhudi…

Soma Zaidi »
Siasa

Balozi Mahmoud aapishwa ubunge

DAR ES SALAAM: SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemtaka Mbunge Balozi Mahmoud Thabit Kombo kumbeba Rais Samia Samia Suluhu…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Tusimamie malezi ya vijana- Dk.Mwinyi

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wazazi na Walezi kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Tamasha la Ligae kufanyika Agosti.

DAR-ES-SALAAM: Waziri wa utamaduni sanaaa na michezo Damas Ndumbaro kufungua  unguzi tamasha kubwa la Ligae award 2024 jijini Dar es…

Soma Zaidi »
Mitindo & Urembo

Wanamitindo wa kimataifa watengenezwe

DAR-ES-SALAAM: MWANAMITINDO Mstaafu wa kimataifa, Tausi Likokola ameishauri Tanzania itoe wanamitindo wengi bora wanaokidhi vigezo vya kimataifa. Akizungumza na HabariLEO,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dkt Tulia apanda SGR kwenda Morogoro

DAR-ES-SALAAM: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Vilabu lipeni ada ya ushiriki

ARUSHA: TAASISI na Mashirika ambayo yana malimbikizo ya ada za ushiriki wa michezo ya wafanyakazi zimeombwa kulipia ada ya ushiriki…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Diamond apongezwa kuitangaza Tanzania

DAR-ES-SALAAM: Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amempongeza Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz kwa kuwafikisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wekezeni kwa wakulima vijijini

SIMIYU: KATIBU Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amemshauri Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuwa mipango ya uwezeshaji…

Soma Zaidi »
Featured

Man City imeona kitu kwa Dani Olmo

TETESI za usajili zinasema Manchester City imetuma ofa kumsajili kiungo wa Hispania Dani Olmo, 26, anayekipiga katika klabu ya RB…

Soma Zaidi »
Back to top button