Year: 2024

Tanzania

Ujenzi barabara ya Tamco-Mapinga uko njiani

MENEJA wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Pwani Mhandisi Baraka Mwambage amesema ujenzi wa barabara ya Tamco-Mapinga yenye urefu…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Theresa May kuachia ubunge

WAZIRI Mkuu mstaafu wa Uingereza, Theresa May ametangaza kuwa atajiuzulu kama mbunge katika uchaguzi mkuu ujao. Katika taarifa yake kiongozi…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Samia mgeni rasmi uzinduzi CEAT

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Umoja wa Kampuni za Kichina (CEAT) nchini Tanzania mwishoni…

Soma Zaidi »
Jamii

DC Mbogwe awataka wanawake kushiriki maendeleo

GEITA: Wanawake wametakiwa kuendelea kujituma na kushiriki kwenye shughuli za maendeleo ili kujiinua kiuchumi na kujiletea maendeleo katika familia. Pia…

Soma Zaidi »
Africa

Ndege yaua watano Burkina Faso

WATU watano wamekufa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia ndege moja iliyokuwa imebeba watu saba kuanguka baada ya kushindwa kuruka Mashariki…

Soma Zaidi »
Siasa

Mndeme aishukuru ACT, katibu mambo ya nje

KATIBU mpya wa Mambo ya Nje wa chama cha ACT Wazalendo, Mwanaisha Mndeme amekishukuru chama hicho kwa kuchakuliwa kushika nafasi…

Soma Zaidi »
Biashara

Tanganyika yasaini mkataba mpya biashara hewa ukaa

KATAVI: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi imesaini mkataba mpya wa biashara ya hewa ukaa baina yao na Taasisi…

Soma Zaidi »
Uchumi

Tanzania kuokoa mabilioni kwenye viuatilifu

DAR ES SALAAM: Tanzania iko mbioni kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 4 zinazotumika kuagiza viuatilifu vya kilimo kutoka nje ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Viwanja 10,000 kupimwa wanaohamia Msomera

TANGA: Jumla ya viwanja 10,000 vinatarajiwa kupangwa na kupimwa katika sehemu ya eneo lililokuwa Pori Tengefu la Handeni awamu ya…

Soma Zaidi »
Muziki

Mr Blue: Mke wangu chanzo kuacha dawa za kulevya

DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki Khery Sameer ‘Mr Blue’ ameweka wazi kuwa mke wake ndie aliemsaidia kuacha kutumia madawa…

Soma Zaidi »
Back to top button