Year: 2024

Afya

TMDA yaipiga pini dawa ya macho

DAR ES SALAAM; MAMLAKA ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) imeondoa sokoni dawa duni ya macho aina ya “XSONE N” matoleo…

Soma Zaidi »
Jamii

Vitambulisho vya machinga kurudi – Chalamila

DAR ES SALAAM, Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, ametoa tangazo la kurudishwa kwa vitambulisho vya biashara kwa wafanyabiashara wadogo. Hatua…

Soma Zaidi »
Tanzania

CCM yaonya longolongo Tanroads, Tarura

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimetoa angalizo kwa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuhakikisha inatekeleza na kukamilisha miradi…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Rais Mwinyi ateta na viongozi KKAM

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amekutana na Makamu Askofu Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

BMZ yatakiwa kuboresha kitengo cha TEHAMA

ZANZIBAR: WATENDAJI  wa Baraza la Mitihani la Taifa (BMZ)  wametakiwa kuimarisha  nguvukazi katika maeneo muhimu ikiwemo kitengo cha Tehama ili…

Soma Zaidi »
Muziki

Director Ivan: Bila kutunza siri za wasanii huwezi kudumu

DAR ES SALAAM: MUONGOZAJI maarufu wa video za wasanii ndani na nje ya nchi, Ivan Peter maarufu Director Ivan amesema…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Diamond kwenye albamu ya Sholo Mwamba

DAR ES SALAAM: BAADA ya msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz kuonyesha nia ya kuimba wimbo katika…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mudryk kutimkia Arsenal?

LONDON, England: Wababe wa soka kutoka London kaskazini Arsenal wanahusishwa na kumnunua winga wa klabu ya Chelsea ya jijini humo…

Soma Zaidi »
Afya

Muhimbili kuanza kuhifadhi mbegu za uzazi

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua benki ya kuhifadhi mbegu za uzazi katika Hospitali ya Taifa ya…

Soma Zaidi »
Muziki

Washukiwa mauaji ya ‘AKA’ wadakwa

DURBAN, Afrika Kusini: Watu sita wanashikiliwa na polisi nchini Afrika Kusini wakihusishwa na mauaji ya Rapa Kiernan Jarryd Forbes maarufu…

Soma Zaidi »
Back to top button