Na Esther Takwa

Dodoma

‘Pelekeni mifugo majosho ya serikali’

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Khamis Hamza Chilo, amewataka wafugaji wote nchini kupeleka…

Soma Zaidi »
Zanzibar

‘Uvamizi wa maeneo umechangia migogoro ya ardhi Z’bar’

WAZIRI wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar, Rahma Kassim Ali, amesema kuwa tabia za uvamizi na uuzaji holela wa…

Soma Zaidi »
Kanda

Watumishi mahakama waonywa rushwa, upendeleo

JAJI Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania, Mustepher Siyani amewataka watumishi wa mahakama nchini kutowaangusha Watanzania kwa kuendekeza ubinafsi, rushwa na…

Soma Zaidi »
Utamaduni

Washindana nyimbo kusherehekea mwaka wa Kichina

TAASISI ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), imeadhimisha mwaka wa kichina kwa wanafunzi wa kitanzania kwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Waraibu dawa za kulevya waomba matibabu kila mkoa

WARAIBU wa dawa za kulevya  kutoka mikoa mbalimbali, wanaotibiwa katika Hospitali ya Mkoa ya Rufaa, Sekou Toure, wameiomba serikali kuanzisha…

Soma Zaidi »
Africa

Mtanzania afa kwenye vurugu Afrika Kusini

UBALOZI wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema Mtanzania, Abilah Hussein Riziki amefariki dunia jijini Johannesburg katika vurugu. Kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »
Biashara

DC Rungwe aomba MeTL ibanwe mashamba ya chai

MKUU wa Wilaya ya Rungwe Dk Vicent Anney,  ameishushia lawama kampuni ya Mohamed Enterprises (MeTL), akidai inaua kilimo cha chai…

Soma Zaidi »
Infographics

Serikali yasaini mkataba ujenzi kituo cha moyo

SERIKALI ya Tanzania na China leo zimesaini mkataba wa kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya kupanua Taasisi ya Moyo ya…

Soma Zaidi »
Infographics

HABARI KUU; Januari 18, 2023

Mkusanyiko wa habari kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Januari 18, 2023.

Soma Zaidi »
Kanda

Makamishna wapya TFS watakiwa kuzingatia weledi

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS), Brigedia Jenerali, Mbaraka Mkeremy, amewataka makamishna wapya 47 wa uhifadhi…

Soma Zaidi »
Back to top button