Mwandishi wetu

Jamii

TANESCO boresheni mfumo wa kutoa huduma-Kapinga

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuboresha mfumo wa utoaji huduma…

Soma Zaidi »
Safari

Mbarawa: kufikia 2025 tutakuwa na Ndege 16

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa kesho Oktoba 03, 2023 Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya…

Soma Zaidi »
Jamii

Rais Samia anataka kuona miradi inakamilika kwa wakati

MBEYA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni kuona miradi ya ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Gesi

Ubalozi wa Uswidi nchini wazindua lori la gesi asilia

DAR ES SALAAM: KATIKA kuadhimisha miaka 60 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Uswidi, Ubalozi wa Uswidi nchini umezindua kampeni…

Soma Zaidi »
Madini

Serikali kumaliza kero ya umeme migodini

GEITA: Serikali imeanza kutekeleza mradi maalum wa kupeleka umeme maeneo ya wachimbaji wadogo ili kuwapunguzia gharama za uzalishaji na kuchagiza…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga yatinga kibabe makundi CAFCL

DAR ES SALAAM: Baada ya kusubiri kwa kipindi cha miaka 25 hatimae Yanga wamefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano…

Soma Zaidi »
Fedha

Sagini azindua mfumo wa kidigitali wa huduma za fedha Jeshi la polisi

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi nchini leo Septemba 30, 2023 limezindua Mfumo wa kidijitali wa huduma za kifedha uitwao…

Soma Zaidi »
Jamii

Asilimia 77.3 ya Vijiji Kagera Vyaunganishwa na Umeme wa REA

KAGERA: Vijiji 512 kati ya Vijiji 662 vya Mkoa wa Kagera ambayo ni sawa na asilimia 77.3 ya vijiji vya…

Soma Zaidi »
Jamii

Watu laki tatu hawakurudi chanjo ya Uviko 19

DAR ES SALAAM: Wananchi 313,269 wa Dar es Salaam hawakurudi kupata chanjo ya pili ya Covid 19 tangu chanjo hizo…

Soma Zaidi »
Chaguzi

NEC yashauriwa kusajili wapiga kura Kidijitali

DAR ES SALAAM: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshauriwa mambo manne ikiwemo kutumia mfumo wa kidijitali kusajili wapiga kura…

Soma Zaidi »
Back to top button