Vicky Kimaro

Madini

‘Kagueni migodi kwa faida, usalama zaidi’

DODOMA: WAKAGUZI wa migodi wametakiwa kuendelea kusimamia na kuimarisha kaguzi katika maeneo yao ya kazi ili sekta ya madini iendelee…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwenge kupitia miradi ya Sh bilioni 30 Mtwara

MTWARA: MIRADI 62 ya maendeleo itapitiwa na Mwenge wa Uhuru mkoani Mtwara yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 30…

Soma Zaidi »
Dodoma

Tanzania yaiomba Indonesia ushirikiano mifumo ya kodi

DODOMA: SERIKALI imeiomba Indonesia ishirikiane na Tanzania kuboresha mifumo ya kodi. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba alitoa ombi hilo…

Soma Zaidi »
Bunge

Bunge laelezwa fursa vivuko Kigamboni

DODOMA: BUNGE limeelezwa kuwa kuna fursa katika uendeshaji wa vivuko katika eneo la Kigamboni – Kivukoni mkoani Dar es Salaam.…

Soma Zaidi »
Bunge

Kamera kufungwa mizani 56 kukabili rushwa nchini

DODOMA: WIZARA ya Ujenzi imesema mfumo wa kamera za CCTV na taarifa za vipimo vya uzito wa magari utafungwa katika…

Soma Zaidi »
Bunge

Wageni wavuna fedha za miradi kuliko wazawa

DODOMA: SERIKALI imesema asilimia kubwa ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inawanufaisha wageni kutoka nje…

Soma Zaidi »
Bunge

Athari za El-Nino kugharimu bil 986/-

DODOMA: SERIKALI imesema matengenezo ya miundombinu iliyoathirika na mvua za El – Nino yanahitaji Sh bilioni 986. Waziri wa Ujenzi,…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Nelly Kamwelu awaza uongozaji filamu

DAR ES SALAAM: MUIGIZAJI maarufu nchini Nelly Kamwelu amesema mbali na sanaa hiyo ana ndoto ya kuwa mwongozaji wa filamu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kamwelu ajipanga kuwashika mkono wahitaji

DAR ES SALAAM: MUIGIZAJI maarufu nchini Nelly Kamwelu amesema baada ya kukamilisha mipango yake ya kazi ataona ni jinsi gani…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Rais Mwinyi awaita wawekezaji wa Ufaransa

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia fursa kuwekeza Zanzibar katika…

Soma Zaidi »
Back to top button