Grace Mkojera

Featured

Mfaume ataka pambano la Oscar, Tony lirudiwe

NAHODHA wa Nàccoz Gym, bondia wa ngumi za kulipwa Mfaume Mfaume ameomba pambano la Oscar Richard na Tony Rashid lirudiwe…

Soma Zaidi »
Afya

Mhagama awajulia hali majeruhi kuporomoka jengo

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia asisitiza SADC kumaliza migororo

MWENYEKITI wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais Dk. Samia Suluhu…

Soma Zaidi »
Featured

Mwanariadha Jeshi la Polisi avunja rekodi Uingereza

MWANARIADHA wa Jeshi la Polisi Konstebo Transfora Mussa ameshinda mbio za kilomita 10 za Fulham zilizofanyika Uingereza huku akivunja rekodi…

Soma Zaidi »
Featured

“Wadau endeleeni kusaidia kilimo Tanzania”

WADAU wa maendeleo wameombwa kuendelea kusaidia sekta ya kilimo nchini Tanzania, hasa kwa kundi la vijana na wanawake ili kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia aipongeza Stars, aipa mil 700/-

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza na kuipatia Timu ya Taifa ya Tanzania shilingi Milioni 700 kwa kufuzu fainali za…

Soma Zaidi »
Featured

Polisi yawashikilia waliokusanya fedha janga Kariakoo

JESHI la Polisi linawashilikia na kuwahoji kwa kina mkazi wa Mikocheni, Diva Gissele Malinzi(36), na Jenifer Jovin Bilikwija(25), mkazi wa…

Soma Zaidi »
Featured

COP29 wainufaisha Tanzania hifadhi ya mazingira

Mkutano wa 29 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) umeendelea kuiletea manufaa…

Soma Zaidi »
Biashara

Wadau wakutana kujadili mifumo ya kodi

SERIKALI kupitia Wizara ya Fedha imefanya kongamano la kodi kikanda kwa kuwakutanisha wadau kutoka sekta binafsi wakijumuisha wataalam na washauri…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia aongeza muda uokoaji Kariakoo

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo…

Soma Zaidi »
Back to top button