Na Mwandishi wetu

Kimataifa

EU, Uingereza kuimarisha uhusiano

BRUSSELS: RAIS wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya,Ursula von der Leyen, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uingereza,…

Soma Zaidi »
Kimataifa

UN, Lebanon waomba ufadhili dola mil 426

GENEVA : MSEMAJI wa kuratibu shughuli za wakimbizi  UN, OCHA, Jens Laerke amewaambia waandishi wa habari kuwa Umoja wa Mataifa…

Soma Zaidi »
Africa

IMF yaiomba Kenya kuchunguza ufisadi

MAREKANI : SHIRIKA la Kimataifa la Fedha, IMF, limetoa ombi maalum kwa serikali ya Kenya kuchunguza madai ya ufisadi na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mashtaka mapya yamkabili Diddy

MAREKANI : ZAIDI ya watu 100 wanatarajiwa kumshtaki mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na…

Soma Zaidi »
Infographics

Mgombea urais atupwa jela Tunisia

TUNISIA : MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya upinzani nchini Tunisia,Ayachi Zammel amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela baada ya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Bunge la Kenya kumjadili Rigathi

KENYA : BUNGE la Kenya limekubali kujadili hoja inayohusu kumuondoa madarakani Makamu wa Rais Rigathi Gachagua kwa madai ya kukiuka…

Soma Zaidi »
Zanzibar

SMZ kuendelea kuifungua Pemba

PEMBA : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezindua  meli ya kwanza ya makontena…

Soma Zaidi »
Afya

Wagonjwa wa figo waongezeka Temeke

DAR –ES –SALAAM : IMEELEZWA kuwa idadi ya wagonjwa  wa figo  inazidi kuongezeka hapa nchini ukilinganisha na hapo awali ambapo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mamia ya watu hawajulikani walipo

MAREKANI  : WAKAZI wa jimbo la North Carolina  Septemba 30  walikabiliana na uharibifu mkubwa kutokana na kimbunga Helene huku mamia…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mbivu mbichi kujulikana leo Kenya

KENYA : WABUNGE nchini Kenya wanatazamiwa kuwasilisha hoja ya kumg’oa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua katika bunge la taifa leo…

Soma Zaidi »
Back to top button