Rahimu Fadhili

Tanzania

Ndugulile kuzikwa Desemba 3 Kigamboni

MKURUGENZI Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Kanda ya Afrika, Faustine Ndugulile atazikwa Desemba 3, Kigamboni Dar es…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wahasibu wapewa kipaumbele katika uchumi

MHASIBU Mkuu wa Serikali, CPA Leonard Mkude amesema wahasibu wana nafasi muhimu katika mnyororo wa uzalishaji wa kiuchumi, hasa katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tasac yaonya usafirishaji holela

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataka wamiliki na wadau wa usafiri wa majini kuepuka usafirshaji holela wa mizigo…

Soma Zaidi »
Infographics

RC Andengenye aridhishwa na upigaji kura

MKUU wa  Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye ameridhishwa na idadi kubwa ya wananchi waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Akanusha polisi kusindikiza masanduku ya kura

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya  Ngorongoro, Murtallah Mbillu amekanusha taarifa polisi kusindikiza masanduku ya kura zilizopigwa. Mbillu ametoa…

Soma Zaidi »
Featured

DC Mgandilwa apiga kura

MKUU wa Wilaya ya Kilindi, Hashim Mgandilwa ameungana na wananchi wenzake wa mtaa wa Legeza Mwendo kushiriki katika uchaguzi wa…

Soma Zaidi »
Featured

Msimamizi wa uchaguzi aeleza kuhusu mawakala Chadema

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Halmshauri ya  Jiji la Arusha, John Kayombo amesema Chama cha Demokrasia  na Maendeleo ( CHADEMA ) kimepeleka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wapiga kura Longido wajitokeza kwa wingi

JUMLA ya wapiga kura 79,768 waliojiandisha kupiga kura katika Jimbo la Longido mkoani Arusha wamejitokeza kwa vingi katika vituo vya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Asas aonyesha matumaini ya ushindi mkubwa wa CCM

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas amepiga kura na kuonyesha matumaini kuwa viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi huu…

Soma Zaidi »
Chaguzi

 Nanyamba wafurika upigaji kura

WANANCHI wa Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi mbalimbali wa serikali za…

Soma Zaidi »
Back to top button