Rahimu Fadhili

Featured

Bajeti ya Tarura yaongezeka hadi bil 710/-

BAJETI ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara za Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeongezeka kutoka Sh bilioni 275…

Soma Zaidi »
Featured

Serikali kutekeleza mradi wa umeme Mtwara, Lindi

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali inatekeleza mradi wa umeme Gridi ya Taifa  kwa kuiunganisha mikoa ya Mtwara…

Soma Zaidi »
Chaguzi

CCM: Wagombea uchaguzi mitaa msibweteke

DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimewataka wagombea wateuliwa katika nafasi ya wenyeviti uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »
Featured

PPRA yafafanua NeST ilivyonufaisha vikundi 210

MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema tangu kuanza kwa matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa…

Soma Zaidi »
Diplomasia

 Tanzania, China kuwanoa wakunga

TANZANIA na China zimedhamiria kuendeleza ushirikiano wa kuwanoa wakunga ili wakasaidie kuokoa  wanawake wajawazito  vijijini kujifungua salama. Hayo yamesemwa Dar…

Soma Zaidi »
Madini

Tanzania yajizatiti kuzuia matumizi ya zebaki

DAR ES SALAAM – Tanzania imezidisha juhudi za kupunguza matumizi yatokanayo na zebaki ambayo hutumiwa sana na wachimbaji wadogo wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wenye vipaji TFS kuendelezwa

WAKALA wa Uhifadhi wa Misitu (TFS) wameahidi kudhibiti vikwazo kwa watumishi wenye vipaji badala yake watawapa nafasi ili kuwa wanamichezo…

Soma Zaidi »
Afya

DC Mwenda ataka kipaumbele cha lishe Iramba

MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba…

Soma Zaidi »
Afya

Sh milioni 78 kuchangia masuala ya lishe Msalala

HALMASHAURI ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga imetenga bajeti ya zaidi ya Sh milioni 78 kwa ajili ya kuchangia shughuli…

Soma Zaidi »
Siasa

Vigogo ACT Wazalendo wakutana makao makuu

KAMATI ya Uongozi ya Chama cha ACT-Wazalendo imekutana leo katika Ukumbi wa Juma Duni Haji ulioko katika Jengo la Maalim…

Soma Zaidi »
Back to top button