Rahimu Fadhili

Tanzania

Dk afanya ziara kujionea ujenzi TTB, TAWIRI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana leo Oktoba 26,2024 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi…

Soma Zaidi »
Jamii

Jamii yahimizwa mazoezi kuepuka magonjwa

JAMII imehimizwa kujiunga na vyama mbalimbali vya mazoezi ili kuepukana na majongwa yasiyoambukizwa ikiwemo kisukari, saratani na mengineyo. Mkurugenzi Msaidizi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bandari yajipanga kusafirisha shehena ya korosho

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imesema Bandari ya Mtwara imejipanga kusafirisha korosho ghafi ambazo zinatarajiwa kusafirishwa kwenda nje ya…

Soma Zaidi »
Fursa

“Mkutano mfugaji nyuki uwe fursa”

KAMISHNA Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),Profesa Dos Santos amewataka wadau wa ufugaji nyuki nchini kutumia fursa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Al-Maktoum yafanya bunifu 300 kutatua changamoto

ZAIDI ya wanafunzi 300 wa Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha AL-MAKTOUM wamefanya ubunifu wa mifumo mbalimbali ili kutatua changamoto…

Soma Zaidi »
Jamii

Kampeni “Tuwaambie Kabla Hawajaharibiwa” yazinduliwa 

KATIKA jitihada za kuzuia mmomonyoko wa maadili na kuwalinda watoto na vijana dhidi ya ukatili wa kijinsia na athari za…

Soma Zaidi »
Featured

DC Iramba: Tutapeleka maji vijiji vilivyosalia

MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani, Singida Suleiman Mwenda amewahakikishia wananchi wa Tarafa ya Shelui hususani wakazi wa vijiji vya…

Soma Zaidi »
Featured

DC Mwenda atoa maagizo ujenzi wa shule Mtoa

MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Suleiman Mwenda amewataka wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa shule mpya inayojengwa Kata…

Soma Zaidi »
Featured

NBAA, ZIAAT kuzidisha ushirikiano

DAR ES SALAAM: BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na Taasisi ya Wahasibu, Wakaguzi na…

Soma Zaidi »
Featured

Majaliwa aikabidhi Takukuru magari mpya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2024 amekabidhi magari mapya 10 ikiwa ni ishara ya kukabidhi magari 88 yaliyonunuliwa…

Soma Zaidi »
Back to top button