Sijawa 0mary, Mtwara

Afya

Watakiwa kutunza mazingira soko la samaki Mikindani

WAFANYABIASHARA samaki katika soko la feri lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kutunza mazingira ili kuepukana na magonjwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waandishi malkia wa nguvu Nyanda za Kusini

KILELE cha tuzo za Malkia wa Nguvu 2024 Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kimekamilishwa kwa malkia sita wa nguvu…

Soma Zaidi »
Featured

Kocha Azam FC alia umbali Kigoma

KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema kuwa muda mfupi tangu kumaliza mechi na Simba umbali mrefu kutoka Zanzibar hadi…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC Tandahimba ahimiza amani uchaguzi mitaa

KUELEKEA Uchaguzi wa Serikali za M itaa utakaofanyika Novemba 27,2024, Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Kanali Michael Mtenjele…

Soma Zaidi »
Tanzania

PPRA yatakiwa kuendeleza mafanikio

WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Ununuzi wa Umma ( PPRA) kuhakikisha inayaendeleza mafanikio waliyoyapata kwa mwaka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Barabara yaondoa changamoto ya mafuriko

WANANCHI wa mtaa wa Bunazi kata Kasambya wameondokana na changamoo ya barabara kujaa maji na kushindwa kupita baada ya Wakala…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mradi wa barabara Kyema-Katerero wafikia 80%

MRADI wa barabara ya lami Kyema – Katerero iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera unaotekelezwa kwa awamu ya…

Soma Zaidi »
Featured

Samia aonya uchomaji misitu

RAIS Samia Suluhu Hassan amewaonya wananchi kuacha tabia ya kuchoma misitu, kinyume chake wailinde na kuihifadhi. Kiongozi huyo wa nchi…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Wananchi Mikindani wajitokeze uchaguzi mitaa”

WANANCHI wanaoishi Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wenye sifa za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wamehimizwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

TPDC yaanza utafiti mafuta, gesi Ziwa Eyasi

SERIKALI kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) chini ya Wizara ya Nishati imeanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa…

Soma Zaidi »
Back to top button