Zawadi Antony

Kanda

Wakazi Arusha Chini waanza kusahau kero ya mafuriko

WAKAZI waishio ukanda wa tambarare hususani katika Kata ya Arusha Chini iliyopo Halmashauri ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa kipindi kirefu…

Soma Zaidi »
Jamii

Ujerumani na shauku kuona mtoto mlemavu nchini akipata elimu

“TUNATAKA kila mtu hapa Tanzania azijue haki za watoto. Children Support Tanzania kupitia Noela na watu wengine Tanzania wanafanya kazi…

Soma Zaidi »
Uchumi

TRC wakamilisha Kituo cha Mvave hifadhi ya Saadani

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema kukamilika kwa ukarabati wa Kituo cha Stesheni ya Mvave iliyopo karibu na mbuga ya…

Soma Zaidi »
Afya

Hospitali ya Rufaa Chato, mapinduzi mengine huduma za kibingwa nchini

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda Chato ilianza kujengwa mwaka 2017 na hadi kufika Julai 30, 2021 awamu ya kwanza ya…

Soma Zaidi »
Afya

Fanya hivi kuokoa maisha aliyepata tatizo la moyo kusimama ghafla

MARA kadhaa tumesikia fulani amekufa kutokana na moyo kusimama ghafla. Au alikuwa anafanya jambo fulani ghafla akadondoka na kufa au…

Soma Zaidi »
Kanda

38 mbaroni Arusha kwa tuhuma anuai

JESHI la Polisi Mkoani Arusha linawashikilia watuhumiwa 38 wanaojihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu akiwemo dereva aliyekutwa akisafirisha kilo 390…

Soma Zaidi »
Afya

Mkakati waandaliwa kupunguza maambukizi ya VVU

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego ameahidi kuja na mkakati wa pamoja utakaosaidia kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi…

Soma Zaidi »
Afya

RC Waziri aeleza mikakati kukabili udumavu

MKOA wa Songwe umejipanga kupambana kutatua udumavu na uzito pungufu kwa watoto chini ya miaka mitano, licha ya  kuwa miongoni…

Soma Zaidi »
Kanda

Vitenge 16,000 vyadakwa kwenye jahazi

JESHI la Polisi mkoani Tanga limekamata vitenge doti 16,000 vilivyoingizwa katika mkoa huo kwa magendo. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi…

Soma Zaidi »
Jamii

Bunge lataka mifumo kudhibiti ukatili kwa watoto

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametoa rai kwa viongozi wa serikali kuimarisha mifumo ya kubaini vitendo au matukio ya…

Soma Zaidi »
Back to top button