Nakajumo James, Moshi

Kanda

Sabaya kortini leo peke yake

KESI ya uhujumu uchumi namba 2 ya mwaka 2022 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya inatarajiwa…

Soma Zaidi »
Kanda

Benki ya NMB yadhamini tena mkutano mkuu ALAT

BENKI ya NMB imechangia kiasi cha Sh milioni 120 kufanikisha maandalizi ya mkutano mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Serikali…

Soma Zaidi »
Afya

Ni muhimu watanzania kujifunza huduma ya kwanza

KATI ya mambo ya hatari yanayoweza kusababisha mtu apoteze maisha ni pale anapokosa msaada wa huduma ya kwanza anapokabiliwa na…

Soma Zaidi »
Uchumi

Serikali za Afrika ziunge mkono mkakati wa AGRA kubadili kilimo

TAASISI ya Mapinduzi ya Kijani barani Afrika (AGRA) imezindua mkakati mpya wa miaka 5 unaolenga kuanzisha njia mpya ya kufanya…

Soma Zaidi »
Uchumi

e-GA yaagizwa kuwa kioo cha mifumo ya Tehama

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama, ameitaka Mamlaka ya Serikali…

Soma Zaidi »
Uchumi

Jiji baada ya Machinga Complex yageukia masoko madogo

HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeweka mkakati wa kukabiliana na ongezeko la wamachinga kwa kuanza kujenga masoko mengine ya kisasa…

Soma Zaidi »
Uchumi

Kongwa wampa ‘tano’ Rais Samia miradi ya maendeleo

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa  mkoani Dodoma limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia halmashauri hiyo…

Soma Zaidi »
Jamii

Mtoto kuiwakilisha nchi mkutano wa usalama

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imesema Rais Samia Suluhu Hassan amempongeza mtoto Victor Paschal kwa…

Soma Zaidi »
Uchumi

Kituo cha mabasi kupaisha mapato Mwanza (ya kimkakati)

UJENZI wa mradi wa kituo cha mabasi Nyegezi jijini Mwanza ambao sasa umefikia asilimia 96 unatarajiwa kupaisha mapato ya Mkoa…

Soma Zaidi »
Kanda

Ma- RPC wafanyia kazi maagizo ya Samia

MAKAMANDA wa polisi wa mikoa wameanza kufanyia kazi maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa hivi karibuni kuhusu maadili ya…

Soma Zaidi »
Back to top button