Mwandishi Wetu

Tanzania

Z’bar kuwa kituo utekelezaji miradi Afrika Mashariki

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameishukuru Taasisi ya Uturuki ya Iyilik  Dernegi kwa kuichagua Zanzibar kuwa kituo kikuu cha…

Soma Zaidi »
Infographics

Kinana: Watanzania waboreshewe mazingira biashara EA

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amesema umefika wakati kwa mamlaka mbalimbali za serikali kuweka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia apongeza benki mikopo bila riba

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amefurahishwa na kujitokeza kwa taasisi za fedha na benki nchini kushuka chini na kuwafikia moja…

Soma Zaidi »
Kanda

Ashauri mageuzi sekta ya mbegu

TANZANIA italeta mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo na kuchangia ujenzi wa viwanda endapo itaimarisha sekta ndogo ya mbegu. Mkurugenzi…

Soma Zaidi »
Kanda

Unyanyasaji kijinsia waongeza wagonjwa wa akili

IMANI potofu pamoja na vitendo vya  unyanyasaji wa kijinsia katika maisha ya binadamu vimetajwa kuwa miongoni mwa mambo yanayochangia ongezeko…

Soma Zaidi »
Kanda

Usinunue ardhi kabla ya uhakiki halmashauri-Mabula

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula amewataka wananchi wote wanaonunua ardhi kufanya uhakiki kabla ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Nelson Mandela kuongeza umahiri kidijiti

TAASISI ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Afrika (NM-AIST) imesaini mkataba wa ujuzi wa kidijiti na Taasisi ya Kimataifa…

Soma Zaidi »
Kanda

Miundombinu yawekwa shamba la mbegu Msimba

WAKALA ya Mbegu za Kilimo (ASA) imeanza kutekeleza agizo la serikali la kuweka miundombinu ya umwagiliaji katika shamba la mbegu…

Soma Zaidi »
Kanda

LHRC yampongeza Samia uboreshaji haki jinai

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa dhamira yake ya kuona mfumo wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanawake wajasiriamali watangaziwa neema

WAJASIRIAMALI wanawake wametakiwa kutumia kikamilifu kituo cha kimataifa cha biashara kilichozinduliwa Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi kitakachowezesha kutangaza biashara zao…

Soma Zaidi »
Back to top button