Na Anne Robi

Afya

Halmashauri zakumbushwa kutekeleza agizo la Rais Samia

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amezitaka halmashauri zote nchini kutekeleza agizo la Raisi Samia la kujenga wodi muhimu mbili katika vituo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wahujumu ugawaji pembejeo kukamatwa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara kuwachukulia hatua watendaji wa kata na vijiji ambao…

Soma Zaidi »
Madini

Mashahidi waeleza walivyotekwa kesi mgodi wa Tanzanite

MASHAHIDI wawili wa jamhuri katika kesi ya kujeruhi inayowakabili wafanyakazi sita wa mgodi wa Madini ya Tanzanite Mirerani wa Kampuni…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kurudisha viwanda vya kubangua korosho

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imeona umuhimu na faida kubwa ya kubangua korosho nchini na sasa imedhamiria kurudisha viwanda…

Soma Zaidi »
Siasa

Wabunge CCM wanaokacha vikao Iringa waonywa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa kimewatolea uvivu wawakilishi wake wa wananchi wanaokacha kushiriki vikao mbalimbali vya chama hicho…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bodaboda waonywa uvunjifu wa sheria

MKUU wa Dawati la Elimu ya Usalama Tanzani TRAFIC ACP Michael Delali amewataka wanaosafirisha abiria kwa chombo cha pikipiki (Bodaboda)…

Soma Zaidi »
Tanzania

Pinda asherehekea miaka 75 ya kuzaliwa Mtwara

WAZIRI Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda leo ameadhimisha miaka 75 ya kuzaliwa kwake mkoani Mtwara. Maadhimisho hayo yameanza na sala takatifu…

Soma Zaidi »
Infographics

Sanaa kuboresha maslahi ya wasanii Iringa

OFISA Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania, Nyakaho Mahemba amewataka wasanii wa fani mbalimbali mkoani Iringa kujiandaa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wasiorejesha mikopo kuchukuliwa hatua

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imevitaka vikundi vyote vya Manispaa ya Morogoro ambavyo havijafanya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba yanasa kipa mpya kutoka Morocco

KLABU ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa, Ayoub Lakred kutoka FAR Rabat ya Morocco. Lakred (28) amesaini mkataba wa…

Soma Zaidi »
Back to top button