Afya

Hospitali zatakiwa kuwapima Selimundu watoto wanaozaliwa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amezitaka hospitali zote za halmashauri nchini kuwapima Ugonjwa wa Selimundu watoto wote…

Soma Zaidi »

Magonjwa yasiyoambukiza tishio 2030

TAKWIMU za Wizara ya Afya zinaonesha kuwa katika kila vifo vitatu kifo kimoja kinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza. Hayo yamebainishwa na…

Soma Zaidi »

Ummy afafanua hatari kula matunda mchanganyiko

WAZIRI wa Afya ,Ummy Mwalimu ameonya ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza ifikapo 2030 huku akitahadharisha kuwa mtindo mbaya wa maisha ikiwemo…

Soma Zaidi »

Wachinja Ng’ombe sita ufunguzi wa Zahanati

SONGWE: Wananchi wa Kijiji Cha Senga Kata ya Kamsamba wilayani Momba Mkoani Songwe wamechinja ng’ombe sita kusherekea kufunguliwa Zahanati inayotegemewa…

Soma Zaidi »

Ummy ataja sababu kubwa ongezeko magonjwa ya moyo

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametaja sababu kubwa za kuongezeka kwa magonjwa ya moyo nchi huku akiwataka…

Soma Zaidi »

Wananchi kupimwa bure magonjwa ya moyo

DSM; Kuelekea Maadhimisho ya siku ya Moyo Duniani Septemba 29 kila mwaka, Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania kwa…

Soma Zaidi »

MSD: Upatikanaji bidhaa za afya umeongezeka

DAR ES SALAAM: Bohari Kuu ya Dawa (MSD), imebainisha kuwa upatikanaji wa bidhaa za afya umeongezeka kutoka asilimia 51 mwezi…

Soma Zaidi »

BAKWATA Dar yakabidhi Vifaa vya huduma za kijamii Muhimbili, Ocean Road

DAR ES SAALAM: BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA Mkoa wa Dar es Salam wametoa misaada kwa wagonjwa waliopo katika…

Soma Zaidi »

Ataka wimbo wa Makongoro kampeni ya watoto

IRINGA;  MKUU wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego, ametaka wimbo wa marehemu Mzee Makongoro uliopigwa redioni kwa miaka mingi kuhamasisha…

Soma Zaidi »

Upasuaji MOI kufikia wagonjwa 42 kwa siku

DSM; TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imepokea vifaa tiba, vipandikizi na vifaa vya upasuaji  vya kisasa…

Soma Zaidi »
Back to top button