Afya

Una ugonjwa wa kusahau? Tumia kahawa hii

UNAPOTEZA kumbukumbu na unahisi uwezo wako wa kufiri ni mdogo? Uwezo wa kufanya kazi unapungua kila siku ukiwa kazini, vipi…

Soma Zaidi »

Soka yasambaza ujumbe unyonyeshaji na lishe Iringa

TIMU ya soka ya Makongoni FC ya mjini Iringa imenyakua kombe la mashindano ya wiki ya unyonyeshaji katika ngazi ya…

Soma Zaidi »

Mbunge atwishwa kero za hospitalini Mpanda

WAJAWAZITO Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, wameeleza kusikitishwa na namna wanavyodaiwa vifaa vya kujifungulia ikiwemo mipira (gloves) na vitu mbalimbali…

Soma Zaidi »

Washauriwa kuzalisha chakula cha asili

WAKULIMA, wadau mbalimbali Kanda ya Kusini, katika mikoa ya Lindi, Ruvuma na Mtwara wametakiwa kuzalisha na kutumia chakula kitokanacho na…

Soma Zaidi »

Mbogwe wafanya kweli kudhibiti udumavu

HALMASHAURI ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita imefanikiwa kutoa matone ya Vitamin A kwa watoto 55,928 kati ya watoto 56,442…

Soma Zaidi »

Washauri ujenzi vyumba vya kunyonyeshea

VIONGOZI wa dini wameshauri ujenzi wa vyumba maalumu katika maeneo mbalimbali yanayokutanisha watu vitakavyotumiwa bure na akinamama kunyonyesha watoto wao…

Soma Zaidi »

Watumia Sh mil.456 kutokomeza malaria

HALMASHAURI ya Wilaya ya Geita (Geita Vijijini) imetumia kiasi cha Sh milioni 456. 64 kati ya mwaka 2017 hadi 2023…

Soma Zaidi »

31 waondolewa uvimbe wa ubongo kupitia pua

TAASISI ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeanzisha huduma mpya, kufufua na kuimarisha zilizokuwapo, zikifanywa na wataalamu mabingwa nchini baada…

Soma Zaidi »

Uzazi wa mpango unakupa raha, utaepuka karaha

 “UZAO wangu wa kwanza nilihangaika sana maana mume alipoona amenipa mimba, akakimbia. nilihangaika peke yangu na mimba hadi nikajifungua. mwanaume…

Soma Zaidi »

Sh milioni 796 kuboresha huduma ya dharura Geita

HALMASHAURI ya Mji wa Geita imetenga kiasi cha Sh milioni 796.95 kutoka kwenye mapato ya ndani ili kuboresha huduma ya…

Soma Zaidi »
Back to top button