Fedha

Tanzania, Rwanda kukuza biashara

TANZANIA na Rwanda zimekubaliana kushirikiana katika maeneo kadhaa ikiwemo kukuza biashara baina ya nchi hizo hasa baada ya kubainika kuwa…

Soma Zaidi »

SDF wajivunia kazi za waliopata mafunzo

OFISA Miradi na Mratibu Msaidizi wa Mfuko wa kuendeleza Ujuzi Tanzania (SDF), Lusungu Kaduma amesema wanajivunia kazi zinazofanywa na wanufaika…

Soma Zaidi »

RC Tanga aonya bidhaa za magendo, ‘unga’

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amesema kuwa Tanga kwa sasa sio kichaka cha bidhaa za magendo na dawa…

Soma Zaidi »

Serikali: Wastaafu msilipe chochote kupata mafao

WIZARA ya Fedha na Mipango imeagiza wastaafu wasilipie chochote katika mchakato wa ulipwaji wa mafao kwa sababu huo si utaratibu…

Soma Zaidi »

IMF yatabiri uchumi wa Tanzania kuongoza EAC

RIPOTI ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imesema katika miaka kumi ijayo, uchumi wa Tanzania utakua kwa kasi kuliko Kenya…

Soma Zaidi »

Soko la Machinga Tanga kugharimu Sh bil 7.7

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga inatarajia kutumia kiasi cha Sh bil 7.7 kwa ajili ya kujenga soko la kudumu ambalo…

Soma Zaidi »

Serikali yataka ubunifu kuendesha mashirika

MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu ameagiza wenyeviti wa bodi za wakurugenzi za taasisi, mashirika ya umma na wakala za serikali…

Soma Zaidi »

Serikali yaweka rekodi usajili miradi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, mwaka huu serikali imesajili miradi ya uwekezaji 537…

Soma Zaidi »

Mageuzi yaja usimamizi kwa mashirika ya umma

MSAJILI wa Hazina, Nehemia Mchechu ametangaza mageuzi katika ofisi yake, taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali ili kuongeza…

Soma Zaidi »

Marufuku tumbaku kuuzwa kampuni zisizo na leseni

BODI ya Tumbaku Tanzania (TTB), imewaagiza wakulima wa tumbaku katika maeneo yote yanayozalisha zao hilo nchini kutouza zao hilo la…

Soma Zaidi »
Back to top button