Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
ANAWEZA: Programu ya kuwawezesha wanawake yazinduliwa
May 31, 2023
ANAWEZA: Programu ya kuwawezesha wanawake yazinduliwa
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima amezindua Programu ya Jinsia ‘Anaweza’ itakayowawezesha wanawake…
Bwawa la Kidunda kuleta ahueni kiangazi
May 30, 2023
Bwawa la Kidunda kuleta ahueni kiangazi
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi…
Meli yapeleka dawa za mikorosho Mtwara
May 28, 2023
Meli yapeleka dawa za mikorosho Mtwara
MELI ya Sea Ruby imetia nanga katika Bandari ya Mtwara kwa ajili ya kushusha salpha kwa ajili ya kupulizia mikorosho…
‘Boresheni huduma za simu kusaidia utalii’
May 26, 2023
‘Boresheni huduma za simu kusaidia utalii’
MKUU wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa ameiomba Kampuni ya simu ya Vodacom kuboresha huduma zake, ikiwemo kutumia muda mfupi…
‘Toeni mapendekezo kutatua changamoto ya ajira’
May 26, 2023
‘Toeni mapendekezo kutatua changamoto ya ajira’
SERIKALI kupitia wizara ya Elimu, Sayansi na Teknologia inaendelea kutekeleza Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET)…
Rais Samia, Museven wazindua mradi wa umeme
May 25, 2023
Rais Samia, Museven wazindua mradi wa umeme
RAIS Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wamezindua mradi wa kimkakati wa kufua umeme Afrika Mashariki Kikagati…
Swissport yajivunia faida mwaka 2022
May 25, 2023
Swissport yajivunia faida mwaka 2022
MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Swissport Tanzania, Mrisho Yassin amesema licha ya changamoto ya ugonjwa wa Uviko-19, bado kampuni hiyo…
‘Bima sio kwa matajiri tu’
May 25, 2023
‘Bima sio kwa matajiri tu’
WANANCHI wengi hawana uelewa kuhusu masuala ya bima kwa kufikiria kuwa ipo kwa ajili ya matajiri pekee tofauti na uhalisia…
Sh trilioni 6 zanufaisha wajasiriamali milioni 8
May 25, 2023
Sh trilioni 6 zanufaisha wajasiriamali milioni 8
KIASI cha Sh trilioni 6.1 zimetolewa mkopo na ruzuku kwa wajasirimali milioni 8.6 ambao wameimarisha shughuli zao za biashara na…
BoT yaeleza sababu kuimarika uchumi
May 25, 2023
BoT yaeleza sababu kuimarika uchumi
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeridhishwa na kasi ya ukuaji uchumi nchini unaotarajiwa kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu. Taarifa…