Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Utekelezaji Mradi Umeme wa Maji Kagera waiva

Utekelezaji Mradi Umeme wa Maji Kagera waiva

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wametoa mkopo wa Sh bilioni 374.9 za utekelezaji wa mradi wa Umeme wa Maji…
Bandari Tanga yapokea meli ya magari

Bandari Tanga yapokea meli ya magari

BANDARI ya Tanga kwa mara ya kwanza imepokea meli ambayo imebeba mzigo wa magari pamoja na shehena nyingine za mizigo…
Ndege ya mizigo yakamilika, kutua nchini karibuni

Ndege ya mizigo yakamilika, kutua nchini karibuni

SERIKALI inajiandaa kupokea ndege ya mizigo kati ya ndege tano mpya zikiwemo za abiria. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege…
Arusha yang’ara miradi ya uwekezaji

Arusha yang’ara miradi ya uwekezaji

MKOA wa Arusha umeongoza kwa kufungua miradi  13 ya uwekezaji ikiwemo kuzalisha ajira 2,661 katika mikoa 4 ya Kanda ya…
Waziri Mkuu: Vijana msiogope kukopa mitaji

Waziri Mkuu: Vijana msiogope kukopa mitaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe tayari…
Sh bilioni 1.88 yanufaisha miradi 85 ya vijana

Sh bilioni 1.88 yanufaisha miradi 85 ya vijana

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana katika mwaka wa fedha wa 2022/23 mikopo yenye…
Sh bilioni 100 kuboresha vyuo vya ufundi stadi

Sh bilioni 100 kuboresha vyuo vya ufundi stadi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inawekeza zaidi ya Sh bilioni 100 kwa ajili ya kuboresha elimu kwenye vyuo…
Wanafunzi sekondari kufundishwa ujasiriamali

Wanafunzi sekondari kufundishwa ujasiriamali

ZAIDI ya wanafunzi 1000 kutoka shule za sekondari Mkoa wa Mwanza, wanatarajia kunufaika na elimu ya ujasiriamali kutoka Chuo Cha…
Serikali yapongezwa kuamua tanzanite iuzwe Mirerani

Serikali yapongezwa kuamua tanzanite iuzwe Mirerani

MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Madini ya Tanzanite, Yusuph Money amesema serikali haikufanya makosa kuamua madini hayo ambayo hayajasanifiwa…
Bashungwa: JKT italeta mageuzi sekta ya Kilimo

Bashungwa: JKT italeta mageuzi sekta ya Kilimo

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Innocent Bashungwa amesema JKT haitakuwa kikwazo cha  maono ya Rais Samia…
Back to top button