Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

TRA Katavi yakusanya zaidi ya bilioni 7/-

TRA Katavi yakusanya zaidi ya bilioni 7/-

Katika mwaka wa fedha 2021/22 Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Katavi imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 7.2 sawa na…
Serikali yataja mikakati kudhibiti bei za vyakula

Serikali yataja mikakati kudhibiti bei za vyakula

S ERIKALI imesema inachukua hatua za muda mfupi na muda mrefu kudhibiti kupanda bei ya bidhaa za chakula kama vile…
Ghana kununua mafuta kwa dhahabu

Ghana kununua mafuta kwa dhahabu

SERIKALI ya Ghana inafanyia kazi sera mpya ya kununua mafuta kwa dhahabu, badala ya akiba ya Dola za Marekani ili…
Majaliwa: Mradi wa SGR ukamilike kwa wakati

Majaliwa: Mradi wa SGR ukamilike kwa wakati

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kwamba Serikali…
Mfumo wa umilikishwaji fukwe kupitiwa upya

Mfumo wa umilikishwaji fukwe kupitiwa upya

NAIBU  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja  amesema Wizara ya Maliasili na Utalii imependekeza kupitiwa upya kwa mfumo wa…
Jukwaa la Wakulima Afrika laipa 5 Tanzania

Jukwaa la Wakulima Afrika laipa 5 Tanzania

JUKWAA la Kikanda la Wakulima, Kusini mwa Afrika limempongeza serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa ongezeko kubwa la…
NMB yatwaa tuzo 18 kitaifa, kimataifa

NMB yatwaa tuzo 18 kitaifa, kimataifa

BENKI ya NMB imetwaa jumla ya tuzo 18 za ubora za kitaifa na kimataifa. Jana benki hiyo ilitangaza tuzo 10…
TRC yaanza kupokea mabehewa ya SGR

TRC yaanza kupokea mabehewa ya SGR

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeanza kupokea mabehewa yatakayotumika katika Reli ya Kisasa (SGR). Mabehewa 14 yaliyotengenezwa na kampuni ya…
BOT kushusha riba hadi 9%

BOT kushusha riba hadi 9%

BENKI Kuu Tanzania (BOT) inaendelea kuchukua hatua mbali mbali ili  kushusha riba hadi asilimia 9 . Hayo yamesema na Gavana…
Samia azindua mradi wa vihenge, maghala

Samia azindua mradi wa vihenge, maghala

RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa vihenge na maghala ya kuhifadhia nafaka mkoani Manyara yenye uwezo wa kuhifadhi tani…
Back to top button