Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

TRA yawafunda wafanyabiashara Nyang’hwale

TRA yawafunda wafanyabiashara Nyang’hwale

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), mkoani Geita, imewaomba wafanyabiashara wilayani Nyang’hwale kusajili na kurasimisha biashara zao kwa kupata Namba ya…
Samia aandika historia Kigoma

Samia aandika historia Kigoma

RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia mkoani Kigoma kwa kuzima majenereta yaliyokuwa yakitumia Sh bilioni 52 kufua umeme huku mapato…
Viwanda zaidi bidhaa za afya kujengwa

Viwanda zaidi bidhaa za afya kujengwa

Katika kuhakikisha upatikanaji wa dawa pamoja na vifaa tiba vinapatikana kwa wingi na kwa gharama nafuu, serikali imekamilisha ujenzi wa…
Watakiwa wasiwageuze mtaji waliomaliza la saba

Watakiwa wasiwageuze mtaji waliomaliza la saba

WAZAZI na walezi wenye watoto waliohitimu darasa la saba Wilaya Mpanda,  mkoani Katavi wametakiwa wasiwageuze watoto wao mtaji wa kujiingizia…
Mikataba ya Sh bilioni 375.5 yasainiwa ununuzi wa pembejeo Mtwara

Mikataba ya Sh bilioni 375.5 yasainiwa ununuzi wa pembejeo Mtwara

KAMATI ya pamoja ya ununuzi wa pembejeo za zao la korosho na wazabuni wamesaini mkataba wenye thamani ya Sh bilioni…
‘Agizo la Rais limeanza kutekelezeka’

‘Agizo la Rais limeanza kutekelezeka’

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka nchi ijitosheleza  kwa uzalishaji wa sukari yameanza kutekelezeka…
HABARI KUU: Oktoba 14, 2022

HABARI KUU: Oktoba 14, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizojiri leo Oktoba 14
HABARI KUU: Oktoba 13, 2022

HABARI KUU: Oktoba 13, 2022

HABARI KUU: Oktoba 13, 2022 Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Oktoba 13,…
Vijana watakiwa kutumia fursa kujiletea maendeleo

Vijana watakiwa kutumia fursa kujiletea maendeleo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amezitaka halmashauri zote nchini ziendelee kutekeleza agizo la serikali la kutenga maeneo rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki…
Sh Bil 2 kupelekwa Barabara Inyala

Sh Bil 2 kupelekwa Barabara Inyala

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Ujenzi, Balozi Aisha Amour, kupeleka kiasi cha Sh…
Back to top button