Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

IMF yatabiri uchumi wa Tanzania kuongoza EAC

IMF yatabiri uchumi wa Tanzania kuongoza EAC

RIPOTI ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imesema katika miaka kumi ijayo, uchumi wa Tanzania utakua kwa kasi kuliko Kenya…
Soko la Machinga Tanga kugharimu Sh bil 7.7

Soko la Machinga Tanga kugharimu Sh bil 7.7

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga inatarajia kutumia kiasi cha Sh bil 7.7 kwa ajili ya kujenga soko la kudumu ambalo…
Wajasiriamali Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa

Wajasiriamali Dodoma watakiwa kuchangamkia fursa

MBUNGE wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde amewataka wajasiriamali waliopo katika makundi maalum jijini Dodoma kuchangamkia fursa za zabuni mbalimbali zinazotangazwa…
Serikali yataka ubunifu kuendesha mashirika

Serikali yataka ubunifu kuendesha mashirika

MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu ameagiza wenyeviti wa bodi za wakurugenzi za taasisi, mashirika ya umma na wakala za serikali…
Serikali yaweka rekodi usajili miradi

Serikali yaweka rekodi usajili miradi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, mwaka huu serikali imesajili miradi ya uwekezaji 537…
Bandari Mtwara yazindua huduma ya makasha

Bandari Mtwara yazindua huduma ya makasha

BANDARI ya Mtwara mkoani Mtwara imezindua huduma ya meli ya kusafirisha makasha. Huduma hizo zimezinduliwa leo  Aprili 20, 2023 na…
Serikali yaomba muda kuimilikisha ndege atcl

Serikali yaomba muda kuimilikisha ndege atcl

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, George Simbachawene amesema serikali inaomba ipewe muda kufanyia kazi…
Mageuzi yaja usimamizi kwa mashirika ya umma

Mageuzi yaja usimamizi kwa mashirika ya umma

MSAJILI wa Hazina, Nehemia Mchechu ametangaza mageuzi katika ofisi yake, taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali ili kuongeza…
Marufuku tumbaku kuuzwa kampuni zisizo na leseni

Marufuku tumbaku kuuzwa kampuni zisizo na leseni

BODI ya Tumbaku Tanzania (TTB), imewaagiza wakulima wa tumbaku katika maeneo yote yanayozalisha zao hilo nchini kutouza zao hilo la…
Taasisi, mashirika yatakiwa kupunguza utegemezi

Taasisi, mashirika yatakiwa kupunguza utegemezi

TAASISI na mashirika ya umma yanayojiendesha kibiashara yametakiwa kuhakikisha yanajiendesha yenyewe kwa faida wanazozipata, lengo likiwa kupunguza utegemezi kutoka serikalini.…
Back to top button