Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Bajeti yakonga mioyo ya wananchi

Bajeti yakonga mioyo ya wananchi

SERIKALI imepongezwa kwa kuwasilisha Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 inayolenga kuchochea ukuaji wa uchumi, hatua inayoonekana kuwa chachu kwa…
Mbunge ahoji Kagera kutajwa mkoa Masikini

Mbunge ahoji Kagera kutajwa mkoa Masikini

DODOMA; MBUNGE wa Viti Maalumu, Bernadetha Mushashu, amehoji sababu ya Mkoa wa Kagera kuwa miongoni mwa mikoa mitano ya mwisho…
Kaukau kutozwa ushuru

Kaukau kutozwa ushuru

DODOMA; SERIKALI inakusudia kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha Shilingi 50 kwa kilo ya crisps (kaukau)  zinazozalishwa nchini, na…
Ushuru vinywaji vya kuongeza nguvu  kupunguzwa

Ushuru vinywaji vya kuongeza nguvu  kupunguzwa

DODOMA; SERIKALI inakusudia kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi…
Sh tril.40 bajeti kugharamiwa na mapato ya ndani

Sh tril.40 bajeti kugharamiwa na mapato ya ndani

DODOMA; BAJETI ya serikali ya mwaka wa fedha 2025/26 inatarajiwa kugharamiwa na mapato ya ndani ya shilingi trilioni 40.47. Kauli…
ZIARA SBL: Dhamira, uendelevu na ukuaji jumuishi vyamkosha mjumbe, Balozi wa Uingereza

ZIARA SBL: Dhamira, uendelevu na ukuaji jumuishi vyamkosha mjumbe, Balozi wa Uingereza

Dar es Salaam: Serengeti Breweries Limited (SBL), kampuni tanzu ya Diageo PLC, leo, Alhamisi, imewapokea Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,…
Misingi ya bajeti 2025/26 hii hapa

Misingi ya bajeti 2025/26 hii hapa

DODOMA; WAZIRI wa Fedha, Dk Mwiguku Nchemba, muda huu anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2025/26.…
Mwenendo na Uhimilivu wa Deni la Serikali

Mwenendo na Uhimilivu wa Deni la Serikali

SERIKALI imesema hadi Aprili 2025, deni la Serikali lilikuwa shs trilioni 107.70. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hayo…
Mfumuko wa bei wapungua

Mfumuko wa bei wapungua

DODOMA; Mfumuko wa bei nchini ulipungua na kufikia asilimia 3.1 mwaka 2024 ikilinganishwa na asilimia 3.8 mwaka 2023, Bunge limeelezwa.…
Serikali kutoa mafunzo ya mtaala ulioboreshwa kwa walimu nchini

Serikali kutoa mafunzo ya mtaala ulioboreshwa kwa walimu nchini

SERIKALI imesema itaendelea kutoa mafunzo ya mtaala uliboreshwa kwa walimu wote nchini ili kuhakikisha wanakuwa bora katika eneo la ufundishaji…
Back to top button