Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Benki yazindua akaunti ya mfugaji

Benki yazindua akaunti ya mfugaji

DAR ES SALAAM: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua ‘Akaunti ya Mfugaji’ mahususi kwa ajili ya wadau wa sekta…
Makampuni 130 Afrika yapata tuzo uzalishaji bidhaa bora

Makampuni 130 Afrika yapata tuzo uzalishaji bidhaa bora

DAR ES SALAAM; Makampuni 130 kati ya 700 yamepata tuzo ya kuzitambua kutokana na ufanisi na kuzalisha bidhaa bora barani…
TRA Geita yatoa onyo biashara za magendo

TRA Geita yatoa onyo biashara za magendo

GEITA; MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Geita imewataka wafanyabiashara kuachana na biashara za magendo badala yake kama wana dukuduku…
Maagizo yatolewa kwa wadau huduma za wanyama

Maagizo yatolewa kwa wadau huduma za wanyama

DAR ES SALAAM: WAZALISHAJI na Wasambazaji wa rasilimali na vyakula vya wanyama wametakiwa kuhakikisha vyakula na viwanda vyao vimekaguliwa ili…
Tanzania, Marekani kukuza kiwango cha biashara

Tanzania, Marekani kukuza kiwango cha biashara

DAR ES SALAAM: TANZANIA na Marekani zimedhamiria kuongeza kiwango cha  biashara baina ya nchi hizo kutoka kiwango cha  Dola milioni…
Kampuni 27 Ufaransa kuwekeza Tanzania

Kampuni 27 Ufaransa kuwekeza Tanzania

DAR ES SALAAM: UJUMBE wa wafanyabiashara kutoka kampuni 27 za Ufaransa upo nchini kwaajili ya kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji.…
FCC kutumia Sh bilioni moja kuvutia wawekezaji

FCC kutumia Sh bilioni moja kuvutia wawekezaji

DAR ES SALAAM: KIASI cha Sh bilioni 1.56 kitatumika katika kuweka miundombinu ya kisasa ya TEHAMA kwa Tume ya Ushindani…
Kamati yapendekeza mapitio ya tozo Rocky City Mall

Kamati yapendekeza mapitio ya tozo Rocky City Mall

MWANZA: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imependekeza mapitio mapya ya tozo, ada mbalimbali zinazotozwa…
Safari treni ya kisasa kuanza rasmi Julai 25

Safari treni ya kisasa kuanza rasmi Julai 25

DODOMA; Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa safari ya treni ya mwendo kasi ( SGR) kutoka Dar es…
Chalamila atoa ahadi kwa wawekezaji mabenki

Chalamila atoa ahadi kwa wawekezaji mabenki

DAR ES SALAAM: BENKI ya Maendeleo leo jijini Dar es Salaam imezindua tawi jipya eneo la Mbagala huku ikitambulisha huduma…
Back to top button