Uchumi

Yaliyompaisha Samia 2022

RAIS Samia Suluhu Hassan ametekeleza kwa vitendo falsafa yake ya Kazi Iendelee katika kipindi cha mwaka huu kwa kuhakikisha miradi…

Soma Zaidi »

Uboreshaji Bandari Tanga kukamilika 2023

UTEKELEZAJI wa mradi wa kuboresha Bandari ya Tanga unatarajia kukamilika Aprili mwaka 2023. Meneja wa bandari hiyo, Masoud Mrisha amesema…

Soma Zaidi »

Mizani ya kidigitali suluhisho ununuzi wa pamba

TUME ya Maendeleo ya Ushirika Nchini (TCDC), imeazimia kuanza kutumia mizani ya kidigitali katika ununuzi wa zao la pamba, ili…

Soma Zaidi »

Tanzania yang’ara ubunifu kiuchumi Afrika

MIUNDOMBINU, matumizi ya teknolojia kukuza uchumi, soko la uhakika na uwepo wa nguvu kazi ya kutosha ni baadhi ya mambo…

Soma Zaidi »

Mazao ya uvuvi yaingiza bil 3.4/-

SHILINGI bilioni 3.4 za ushuru wa mazao ya uvuvi, sawa na asilimia 70.344 ya lengo la kukusanya Sh bilioni 4.8…

Soma Zaidi »

Sangara wapungua Ziwa Victoria

SAMAKI aina ya sangara wamepungua katika Ziwa Victoria kutoka tani 537,479 mwaka 2020 hadi tani 335,170 kwa mwaka 2021. Ofisa…

Soma Zaidi »

TPA yaweka wazi tarehe ya kuanza usimamizi wa ‘TICTS’

MAMLAKA ya Usimamizi Bandari nchini (TPA) imesema itachukua rasmi usimamizi wa eneo lilokuwa likiendeshwa na Kampuni Binafsi ya Kimataifa ya…

Soma Zaidi »

Zaidi ya magari 2000 hupakuliwa bandari ya Dar kila siku

MAMLAKA ya Bandari nchini (TPA) imesema inapokea zaidi ya magari 2,000 kila siku kupitia Bandari ya Dar es Salaam ambapo…

Soma Zaidi »

Tanzania, Burundi zampa mtu binafsi kujenga SGR

SERIKALI za Tanzania na Burundi zimeshasaini makubaliano ya kujenga Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Uvinza hadi Gitega kupitia machimbo ya…

Soma Zaidi »

Biashara ya nguo yadorora kuelekea sikukuu

ZIKIWA zimebaki siku nne kuadhimishwa kwa sikukuu ya Krismasi, wafanyabiashara wa nguo mkoani Dar es Salaam wamesema biashara ya bidhaa…

Soma Zaidi »
Back to top button