Uchumi

Ujenzi reli ya Tabora-Kigoma waiva

KIPANDE cha ujenzi wa reli ya kati Tabora- Kigoma kitagharimu dola za Marekani bilioni 2.7 sawa na shilingi trilioni 6.34.…

Soma Zaidi »

‘Tumieni lugha rahisi kueleza umuhimu wa bima’

Katibu Mkuu Utumishi Dk Laurean  Ndumbaro, amewataka watumishi wa bima nchini kuhakikisha wanatoa elimu kwa lugha rahisi, ili kuwasaidia wananchi…

Soma Zaidi »

Tanzania yavuna soko la sabuni EAC

NCHI tatu za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekuwa soko la sabuni zinazozalishwa na viwanda vikubwa vya Tanzania; amesema Naibu…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa kauli ongezeko bei za vyakula

SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa hakuna maeneo yatakayokosa chakula kwa kuwa inayo hifadhi ya kutosha huku ikisisitiza kuwa, bei ya bidhaa…

Soma Zaidi »

Masoko ya nyama nje yaongezeka

BODI ya Nyama Tanzania (TMB), imesema masoko ya nyama nje ya nchi yameendelea kuongezeka  kwa kasi huku ikitarajiwa China kuwemo.…

Soma Zaidi »

Sh Bil 1.1  zanogesha ukarabati Mv Tanga

Zaidi ya Sh bil 1.1 zimetumika kufanya ukarabati wa kivuko cha Mv Tanga, ambacho kinatoa huduma ya usafiri eneo la…

Soma Zaidi »

Serikali yataka muafaka wa GGML juu ya maeneo jirani

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imeuagiza Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kuandaa na kuwasilisha mpango kazi utakaotatua malalamiko ya…

Soma Zaidi »

Machinjio ya Sh bilioni 29 yazinduliwa Mvomero

MACHINJIO ya kisasa ya Nguru Hills Ranch Ltd imezinduliwa rasmi mjini Mvomero ambapo inauwezo wa kuchinja ng’ombe 100 na mbuzi…

Soma Zaidi »

Kutokurejesha mikopo, udanganyifu vikwazo mikopo 10%

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imepewa jukumu la kuhakikisha vikundi vya wanawake, vijana na…

Soma Zaidi »

Machinga sasa kutumia EFDs

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kodi Kariakoo, umeanza kusajili wamachinga wote wanaofanya biashara katika eneo la Kariakoo kutumia…

Soma Zaidi »
Back to top button