Uchumi

NBC kushirikiana na Kano kukopesha pembejeo wakulima

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetia saini mkataba wa maridhiano na Kampuni ya Kano Equipment ili kutoa mikopo nafuu…

Soma Zaidi »

SBL yakabidhi mradi wa maji wa Sh mil 293

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imekabidhi mradi wa maji wa Kihanju uliopo Itigi mkoani Singida ambao umefadhiliwa na kampuni…

Soma Zaidi »

Serikali yapokea maoni zaidi kuhusu tozo

SERIKALI imesema inaendelea kupokea ushauri na maoni kuhusu tozo baada ya uamuzi wa kufuta na kupunguza baadhi uliotolewa bungeni juzi.…

Soma Zaidi »

Balozi apigilia msumari ujenzi bomba la mafuta

BALOZI wa Ubelgiji, Luxembourg na Umoja wa Ulaya (EU), Jestas Nyamanga ameendelea kukazia kuhusu msimamo wa serikali kuwa ujenzi wa…

Soma Zaidi »

TIC yasajili miradi ya ajira 654,260 miaka 10

SERIKALI kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) katika kipindi cha miaka 10, jumla ya miradi 4,543 ilisajiliwa yenye thamani ya…

Soma Zaidi »

Nanyumbu wakamilisha barabara ya lami Mangaka

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Halmashauri ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imekamilisha ujenzi wa barabara ya lami yenye…

Soma Zaidi »

Kongamano la biashara China, Tanzania laiva

ZAIDI ya Taasisi 50 zinatarajiwa kushiriki Kongamano la Biashara la Kimataifa  lililoandaliwa na Jukwaa lijulikanalo kama ‘China Trade Week’ (CTW)…

Soma Zaidi »

CRDB yawatangazia raha wakulima Mtwara

BENKI ya CRDB Kanda ya Kusini, imewashauri wakulima wa zao la korosho mkoa wa Mtwara kutumia tembo card, wakati wa…

Soma Zaidi »

Waomba ujenzi wa barabara ya lami mpakani na Msumbiji

WANANCHI wa vijiji vinavyopitiwa na Barabara ya Likuyufusi –Mkenda na nchi jirani ya Msumbiji kwa upande wa Mkoa wa Ruvuma,…

Soma Zaidi »

Ujenzi miundombinu kuvutia wawekezaji

MKAKATI wa serikali ni kuhakikisha inajenga miundombinu wezeshi ili kuvutia wawekezaji katika maeneo mbalimbali nchini, bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa…

Soma Zaidi »
Back to top button