Habari Kwa Kina

Tanzania, Unicef mguu sawa kuimarisha chanjo kwa watoto

RIPOTI mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), inaonesha watoto milioni 67 walikosa chanjo moja au…

Soma Zaidi »

Nyota inayokufa yaitabiria dunia miaka bilioni 5 ijayo

KWA mara ya kwanza wanasayansi wameona nyota inayokufa umbali wa kiasi cha miaka 12,000 ya mianga. Kwa mujibu wa taarifa…

Soma Zaidi »

‘Jamii irejeshe dhamana ulinzi wa mtoto kumkinga na ukatili’ 

ULINZI wa mtoto kwa jamii ya zamani ulikuwa shirikishi, yaani wa jamii nzima. Lakini hali hiyo sasa imebadilika jambo linalochochea…

Soma Zaidi »

Balozi Mongella ajivunia ujasiri, kujiamini kazini

MWANASIASA mkongwe nchini, Balozi Getrude Mongella (78) ameweka wazi safari yake ya uongozi akieleza mambo yaliyomfikisha alipo sasa. Mongella anajivunia…

Soma Zaidi »

ABDUL JUMA : Kinda anayetamba na Zahanati ya Kijiji

Ndiye mtunzi wa Saluni ya Mama Kimbo, Kombolela  KAMA umewahi kuzifuatilia tamthiliya za Saluni ya Mama Kimbo na Kombolela, bila…

Soma Zaidi »

Nguvu ya mazungumzo ilivyomaliza mgogoro Kariakoo

MKOA wa Dar es Salaam ni moja ya mikoa inayoongoza nchini kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi, kijamii na ndio mkoa unaoongoza…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa tamko madai askari wanyamapori kunyanyasa raia

SERIKALI imebaini kuwa hakuna tukio lolote la unyanyasaji wala udhalilishaji dhidi ya raia wakati askari wa Mamlaka ya Hifadhi za…

Soma Zaidi »

Karema: Bandari ya kisasa iliyokamilika kwa asilimia 100 inayosubiri wateja.

BANDARI ya Karema ni miongoni mwa bandari kuu ya kisasa katika ukanda wa maziwa makuu nchini iliyopo katika mwambao wa…

Soma Zaidi »

Mwanza yazidi kuunganishwa miundombinu bora ya usafiri

MWANZA imeendelea kuunganishwa kwa miundombinu ya usafiri wa uhakika kwa uwepo wa barabara na vivuko kama ilivyo mishipa ya damu…

Soma Zaidi »

Maofisa ustawi na ujuzi shirikishi kutatua matatizo ya jamii

ILI jamii iwe na ustawi bora inahitaji afya njema ya kimwili na akili kumrahisishia mtu kufanya kazi zake akiwa na…

Soma Zaidi »
Back to top button