Infographics

TPDC yahakiki wananchi.

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) limezindua zoezi la mwisho la uhakiki wa wananchi halali ambao maeneo yao yatachukuliwa…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa kesi mauaji ya askari waachiwa huru Arusha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru watuhumiwa wote 24 katika kesi ya jinai inayohusu mauaji ya askari Koplo Ganus…

Soma Zaidi »

Wadau kuungana na Serikali upatikanaji wa maji

WADAU wa maji na mazingira wamesema ipo haja ya serikali na wadau wengine kuunganisha nguvu pamoja kuhakikisha wananchi wanapata huduma…

Soma Zaidi »

Mtemvu ashinda uwenyekiti CCM Dar es Salaam

MBUNGE wa zamani wa Temeke Abbas Mtemvu ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam baada ya…

Soma Zaidi »

DESCHAMPS: Hakuna mbadala wa Benzema

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps hatomuita mshambuliaji yoyote kuchukua nafasi ya Karim Benzema aliyeumia mazoezini jana…

Soma Zaidi »

Naibu Waziri Masanja akabidhi vifaa vya mazoezi kwa wenye uhitaji

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amekabidhi vifaa mbalimbali vya mazoezi ya viungo kwa watoto wenye ulemavu wanaoishi…

Soma Zaidi »

Jaji Mkuu ataka wafungwa wasaidiwe kukata rufaa

JAJI Mkuu wa Zanzibar, Khamis Ramadhan Abdalla amewataka watendaji wa mahakama kufuatilia mwenendo wa kesi za watu wanaotumikia vifungo mbalimbali…

Soma Zaidi »

Majaliwa ataka ubia imara NHC, sekta binafsi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lichambue kwa umakini aina ya wawekezaji watakaoleta maombi ya…

Soma Zaidi »

UVCCM waonywa uchaguzi wa kunyenyekewa

UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UV-CCM) umewataka wanachama wake kutochagua viongozi kwa kuangalia urafiki na undugu, bali wachague…

Soma Zaidi »

Takukuru yapokea utitiri wa malalamiko ya rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi imesema jumla ya malalamiko 58 ya rushwa yameripotiwa katika…

Soma Zaidi »
Back to top button