Utamaduni

Basata yatakiwa kutafuta vipaji

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pinda Chana amelitaka Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kuandaa mwongozo wa kutekeleza programu ya…

Soma Zaidi »

Mambo yaanza Miss Pwani 2023

Mkoa wa Pwani umezindua rasmi kuanza kwa shindano la Miss Pwani mwaka 2023. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Pwani,…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuepuka vishawishi, migogoro

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo  Dk Hassan Abbasi wametakiwa kuepuka vishawishi vya…

Soma Zaidi »

Mambo yaiva Dar kuwa na Sports Arena

WIZARA ya Utamaduni Sanaa na Michezo,   imepatiwa eneo la ekari 12 na Shirika la Nyumba (NHC) kwa ajili ya kujenga…

Soma Zaidi »

Mtwara washerehekea kuzaliwa Rais Samia

KATIKA kuadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Rais Dk Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Mtwara ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa…

Soma Zaidi »

Heri ya siku ya kuzaliwa Rais Samia

RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatimiza umri wa miaka 63. Alizaliwa Januari 27, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Ruvuma wajipanga utalii wa kiutamaduni

WADAU wa utalii Mkoa wa Ruvuma wanakusudia kuanzisha na kukuza utalii wa kiutamaduni (cultural tourism) sanjari na kuboresha maeneo yote…

Soma Zaidi »

Washindana nyimbo kusherehekea mwaka wa Kichina

TAASISI ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), imeadhimisha mwaka wa kichina kwa wanafunzi wa kitanzania kwa…

Soma Zaidi »

Ufahamu Usiku wa Yalda wa Irani

MOJA ya sherehe kongwe zaidi za Kiajemi, Shab-e Yalda (Usiku wa Yalda), ambayo wakati mwingine hujulikana kama Shab-e Chelleh, huadhimishwa…

Soma Zaidi »

Waziri Mchengerwa azindua tamasha la utamaduni

Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amezindua Tamasha la Msimu wa Utamaduni wa Afrika Kusini na Tanzania linalotarajiwa…

Soma Zaidi »
Back to top button