Africa

Tshisekedi aongoza kura za urais

DR CONGO: TUME ya Uchaguzi ya DR Congo (CENI) imeendelea kutoa matokeo ya uchaguzi wa rais kwa baadhi ya maeneo…

Soma Zaidi »

Mapigano Nigeria, 16 wauawa

WATU 16 wameuawa katika shambulizi Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutokea mapigano kati ya wafugaji na wakulima, taarifa ya mtandao…

Soma Zaidi »

Walinda amani kuondoka DR Congo

WANAJESHI wa mwisho wa kikosi cha Kanda ya Afrika Mashariki wanaondoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zaidi ya mwaka mmoja…

Soma Zaidi »

Urusi kuisaidia nafaka Tunisia

URUSI imesema iko tayari kusambaza nafaka nchini Tunisia, Waziri wa Mambo ya Nje wa Moscow, Sergei Lavrov alisema katika ziara…

Soma Zaidi »

Kiongozi wa Al-Shabab auawa

KIONGOZI mkuu wa wanamgambo wa Al-Shabaab, Maalim Ayman ameuawa na vikosi vya Somalia na Marekani. Taarifa hizo zinakuja ikielezwa kuwa…

Soma Zaidi »

Rais Guinea Bissau aunda serikali mpya

RAIS wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametangaza kuunda serikali mpya akiipa jukumu muhimu la kupambana na rushwa. Kuundwa kwa serikali…

Soma Zaidi »

Wakimbizi 1,500 kutoka Libya kupokelewa Italia

SERIKALI ya Italia itawapokea wakimbizi na wanaotafuta hifadhi 1,500 kutoka Libya katika kipindi cha miaka mitatu ijayo, kufuatia makubaliano na…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu afutwa kazi baada ya wiki moja

RAIS wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo amemfuta kazi Waziri Mkuu, Geraldo Martins wiki moja baada ya kumteua katika nafasi hiyo…

Soma Zaidi »

Umuhimu Mfuko wa Upotevu, Hasara  Afrika kukabili uharibifu wa mazingira

NOVEMBA 30, 2023 Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) ulianza Dubai, Umoja wa Falme za…

Soma Zaidi »

Wahofiwa kufa baada ya kituo cha mafuta kuwaka moto

WATU kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika kituo cha mafuta mji mkuu wa Conakry nchini Guinea…

Soma Zaidi »
Back to top button