Kimataifa

Ruto aombwa kutanguliza mageuzi ya kisiasa ya Sudan Kusini

MWANAHARAKATI mashuhuri nchini hapa, Edmund Yakani amemtaka Rais wa Kenya, William Ruto, kutanguliza mageuzi ya kisiasa katika nchi hiyo akisema…

Soma Zaidi »

Yaliyosemwa kuhusu EAC yazingatiwe

JUMANNE iliyopita, aliyekuwa Rais Mteule wa Kenya, William Ruto aliapishwa kuwa Rais wa Tano wa nchi hiyo baada ya uchaguzi…

Soma Zaidi »

Wasomi wataka wajasiriamali EAC waondolewe vikwazo

NCHI wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeombwa kuweka utaratibu maalumu kuwezesha wajasiriamali wadogo kuvuka mipaka ya nchi zao…

Soma Zaidi »

‘EU imepotoshwa bomba la mafuta EAC’

JUMUIYA ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS), imesema Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepewa…

Soma Zaidi »

TP Mazembe ya mwisho kufuzu Ligi ya Mabingwa

TIMU ya wanawake ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imekuwa timu ya mwisho kufuzu kwa Michuano…

Soma Zaidi »

APR yatolewa Ligi ya Mabingwa

WAWAKILISHI wa Rwanda katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika, APR FC wametolewa baada ya kufungwa jumla ya mabao…

Soma Zaidi »

Sudan Kusini kujenga bandari Djibouti

SUDAN Kusini imenunua kipande cha ardhi nchini Djibouti kwa ajili ya ujenzi wa bandari. Hii ni sehemu ya juhudi zake…

Soma Zaidi »

Dk Mpango ataka wanaoishi Marekani wafuate sheria

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango, amewaasa Watanzania waishio Marekani na nchi nyingine duniani, kuishi kwa kufuata sheria za nchi…

Soma Zaidi »

Jeneza la Malkia Elizabeth II laelekea ibada ya kifamilia

JENEZA la Malkia Elizabeth II, limeanza safari yake ya mwisho kutoka Westminster Abbey kuelekea Kasri la Windsor kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Ruto ahudhuria mazishi ya Malkia Uingereza

DUNIA ikiwa inaungana katika kuomboleza msiba wa Malkia Elizabeth II, baadhi ya wakuu wa nchi wameshawasili Lancaster House, jijini London,…

Soma Zaidi »
Back to top button