Kimataifa

Jen. Deby aahidi kuwamaliza Boko haram

CHAD : RAIS wa Chad Jenerali Mahamat Idriss Deby  amesema Jeshi la Chad limefanya mashambulizi ya anga na kuwauwa na…

Soma Zaidi »

Putin yuko tayari kumaliza vita Ukraine

MAREKANI : RAIS wa Urusi Vladimir Putin amempongeza Donald Trump kwa ushindi wake wa uchaguzi huku akimtaja ni mtu jasiri.…

Soma Zaidi »

Biden amkaribisha Trump White house

MAREKANI : RAIS  wa Marekani, Joe Biden amewataka Wamarekani kupunguza joto la kisiasa na kumaliza tofauti zao za kisiasa ili…

Soma Zaidi »

Sanamu la Akufo-Addo lawa gumzo Ghana

GHANA : RAIS wa Ghana Nana Akufo-Addo anakabiliwa na mzozo mkubwa mitandaoni ya kuzindua sanamu lake lililopewa jina la safari…

Soma Zaidi »

Ujerumani yaitisha uchaguzi mpya

UJERUMANI : SERIKALI ya Ujerumani imeingia katika mivutano ya kisiasa baada ya serikali yake ya muungano wa vyama vitatu kuvunjika.…

Soma Zaidi »

Jeshi,Polisi wadhibiti maandamano Msumbiji

MSUMBIJI : VIKOSI vya ulinzi na usalama nchini Msumbiji leo vimepiga doria katika baadhi ya mitaa ya mji wa Maputo…

Soma Zaidi »

Beijing Washington tafuteni njia ya maelewano

CHINA : RAIS wa China Xi Jinping amesema Beijing na Washington ni sharti zitafute njia ya maelewano ili kuimarisha mahusiano…

Soma Zaidi »

Watajwa kuwa wasaidizi wa Trump

MAREKANI : RAIS Mteule wa Marekani,Donald Trump anatarajia kutimiza ahadi zake alizotoa kwa baadhi ya watu ambao amewaahidi kuwateua katika…

Soma Zaidi »

Sheria kutungwa kulinda watoto mitandaoni

AUSTRALIA : SERIKALI ya Australia imepanga kuanzisha sheria ya kupiga marufuku matumizi ya mitandao kwa watoto walio chini ya umri…

Soma Zaidi »

Trump kufutiwa mashtaka

MAREKANI : WIZARA ya Sheria nchini Marekani  kwa kushirikiana na mwendesha mashtaka maalum,Jack Smith wako katika majadiliano kuhusu jinsi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button