Kimataifa

Jeshi la Korea Kaskazini laingia Urusi

URUSI : Msemaji wa Pentagon, Meja Jenerali Pat Ryder amesema kati ya wanajeshi 11,000 na 12,000 kutoka Korea Kaskazini tayari…

Soma Zaidi »

Mgomo wiki saba Boeing wamalizika

MAREKANI : WAFANYAKAZI wa Boeing wamepiga kura kwa asilimia 50% ya kukubali ofa ya malipo mpya ya kampuni hiyo na…

Soma Zaidi »

Zaidi ya wamarekani milioni 81 wajitokeza kupiga kura

MAREKANI : IDADI ya wapiga kura hadi sasa waliopiga kura nchini Marekani imefikia zaidi ya milioni 81 kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »

Mwanamfalme William aanza ziara Afrika ya Kusini

UINGEREZA : MWANAMFALME wa Uingereza, William Arthur Philip ameanza ziara nchini  Afrika Kusini itakayojumuisha mikutano na wanaharakati wa masuala ya mazingira…

Soma Zaidi »

Kundi la RSF lashambulia watu 13

SUDAN : TAKRIBAN watu 13 wameuawa kwa kupigwa risasi katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na kundi la wanamgambo la RSF katika…

Soma Zaidi »

Israel yasitisha uhusiano UNRWA

ISRAEL : SERIKALI ya Israel imetangaza kusitisha uhusiano na  Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi wa Palestina UNRWA. Kwa…

Soma Zaidi »

Mitandao imepigwa marufuku Mauritius

MAURITIUS : SERIKALI ya Mauritius imezuia huduma za mitandao ya kijamii nchini humo hadi uchaguzi utakapomalizika. Uamuzi huu wa kuzuia…

Soma Zaidi »

Profesa Kithure aapishwa Kenya

KENYA : ALIYEKUWA Waziri wa Usalama na Mambo ya Ndani ya Nchi nchini Kenya Profesa Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa…

Soma Zaidi »

Israel yamshambulia Ahmed Shahadi

LEBANON : JESHI la Israel limemuua kiongozi mwingine wa kikosi maalum cha kundi la Hezbollah,Mustafa Ahmad Shahadi katika shambulizi lililofanywa…

Soma Zaidi »

Mapigano mashariki ya kati yasitishwe -UN

MAREKANI : AFISA wa Umoja wa Mataifa Tor Wennesland amesisitiza umuhimu wa kusitisha kwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na…

Soma Zaidi »
Back to top button