Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Zaidi ya leseni 1,000 za madini zatolewa Kahama

KAHAMA: HALMASHAURI tatu za Mkoa wa Kimadini Kahama, Ushetu, Msalala na Kahama zimetoa jumla ya leseni 1356, huku fursa za…

Soma Zaidi »

Iringa waenda Geita kujifunza sekta ya madini

GEITA; JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Mkoa wa Iringa imefanya ziara ya mafunzo wilayani Geita kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Mtaalamu Lambert Vissot aeleza mafaniko uchimbaji madini

MTAALAMU wa uchimbaji madini kutoka Kampuni ya Madini ya Vito Ruby International Limited, Lambert Vissot amesema kwa miaka ya hivi…

Soma Zaidi »

Wanawake wapatiwa leseni 355 uchimbaji madini Geita

MKOA wa kimadini wa Geita umefanikiwa kutoa jumla ya leseni za uchimbaji mdogo wa madini 355 kwa vikundi mbalimbali vya…

Soma Zaidi »

Sendeka awashtaki askari ukuta wa Magufuli

MBUNGE wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka amewashitaka askari wa geti la ukuta wa Magufuli kuwa wanafanya upekuzi uliopitiza na kufanya wachimbaji…

Soma Zaidi »

Madini wakusanya bil 434/- miezi mitano

KATIKA kipindi cha miezi mitano cha kuanzia Julai mwaka huu hadi Desemba Mosi mwaka huu, Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya…

Soma Zaidi »

Tanzania, EU kushirikiana kufanya utafiti wa kina wa madini

DAR ES SALAAM: SERIKALI yaahidi kuendelea kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) katika kufanya utafiti wa kina utakaosaidia kupata taarifa…

Soma Zaidi »

Dk Kiruswa amaliza mgogoro kampuni za madini

NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa amemaliza mgogoro wa muda mrefu kati ya Kampuni ya Madini ya Paradiso na…

Soma Zaidi »

Wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu Geita wagoma kula

Kwa mujibu wa makubaliano hayo, Mwajiri atawajibika kutoa msaada wa elimu kwa watoto wa wafanyakazi wake wanne wenye umri kati…

Soma Zaidi »

Lekashingo aahidi ushirikiano madini

MWENYEKITI mpya wa Tume ya Madini, Janet Lekashingo ameahidi kufanya kazi kwa uadilifu, uaminifu na ushirikiano mkubwa na watumishi na…

Soma Zaidi »
Back to top button