Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali yaingiza bilioni 287 sekta ya madini

DODOMA : WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde  amesema serikali imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 287 katika kipindi cha robo ya kwanza,…

Soma Zaidi »

Tanzania yajipanga kuteka soko la nishati safi

WAZIRI wa Madini ,Anthony Mavunde amesema Tanzania imejipanga kuteka soko la uuzaji wa madini ya kimkakati yanayozalisha nishati safi yanayohitajika…

Soma Zaidi »

TFS yaanza kutoa chanjo ya sumu ya nyuki

WAKALA wa Huduma za Misitu (TFS) imewataka watanzania kujifunza kutumia sumu ya nyuki kama njia mbadala ya kuimarisha kinga dhidi…

Soma Zaidi »

Wachimbaji madini Manyara watakiwa kushirikiana

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Quinee Sendiga amewataka wachimbaji wa madini katika Mkoa wa Manyara kushirikiana katika kufanya kazi za…

Soma Zaidi »

THBUB yathibitisha hakuna ukiukaji

MARA : TUME  ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imebainisha kuwa  hakukuwa  na ukiukwaji wowote wa haki za…

Soma Zaidi »

Serikali kuongeza thamani ya tanzanite

ARUSHA : SERIKALI imesema ina mpangokazi wa kupandisha thamani ya soko la madini ya tanzanite kwenye soko la dunia. Waziri…

Soma Zaidi »

Vifungashio kuboreshwa kudhibiti utoroshaji madini

DAR ES SALAAM: TUME ya madini ipo kwenye mchakato wa kuboresha vifungashio vya madini katika masoko ya madini nchi nzima,…

Soma Zaidi »

Serikali yasitisha uchenjuaji dhahabu mgodi EMJ Simiyu

SIMIYU: Serikali wilayani Busega Mkoa wa Simiyu, imesitisha shughuli za uchenjuaji wa dhahabu katika mgodi wa EMJ kutokana na wananchi…

Soma Zaidi »

Dk Kiruswa kufunga Jukwaa la Madini

ARUSHA; NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa ametembelea maonesho, ikiwa ni sehemu ya Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa…

Soma Zaidi »

Mabadiliko Sheria ya Madini yawabeba Watanzania

ARUSHA: MABADILIKO ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha Watanzania wananufaika…

Soma Zaidi »
Back to top button