Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

REA yaanza kusambaza mitungi ya gesi 13,020 Mkoani Songwe

SONGWE : WAKALA wa Nishati Vijijini (REA), kwa kushirikiana na kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited, imeanza rasmi kusambaza mitungi…

Soma Zaidi »

Biteko akaribisha wawekezaji wa kimataifa sekta nishati nchini

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewakaribisha wawekezaji kutoka nchi mbalimbali duniani kuwekeza katika sekta ya…

Soma Zaidi »

Serikali yachukua hatua kuongeza upatikanaji dhahabu GGR

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema Serikali inatambua kuwa ili kiwanda cha kusafisha madini ya dhahabu cha Geita Gold Refinery…

Soma Zaidi »

Algeria, Nigeria, Niger kusafirisha gesi asilia Ulaya

ALGERIA : MAAFISA  kutoka nchi za Algeria, Nigeria na Niger wamesaini  mikataba mipya inayolenga kuharakisha uendelezaji wa bomba kubwa la…

Soma Zaidi »

Mbeya yakusanya bil 2.3/- madini

MKOA wa Mbeya umekusanya jumla ya Sh bilioni 2.3 sawa na asilimia 63 ya lengo la mwaka kati ya Julai…

Soma Zaidi »

Wananchi Ntunduwaro wanufaika na Makaa ya Mawe

UZALISHAJI wa madini ya makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro kata ya Ruanda wilayani Mbinga ni chanzo kikubwa cha…

Soma Zaidi »

Mgodi wa Ndolela mwanga mpya kwa wananchi

MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa…

Soma Zaidi »

Tanzania yakaribisha wawekezaji vituo vya kujaza gesi vijijini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amesema Tanzania inakaribisha uwekezaji kutoka Uingereza kwa ajili ya ujenzi…

Soma Zaidi »

Ajenda ya nishati safi inavyoibeba Tanzania

JANUARI 27, mwaka huu macho ya mataifa yote ya Afrika yataelekea Tanzania wakati Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa…

Soma Zaidi »

Iringa waenda Geita kujifunza sekta ya madini

GEITA; JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Mkoa wa Iringa imefanya ziara ya mafunzo wilayani Geita kwa ajili ya…

Soma Zaidi »
Back to top button