Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wachimbaji madini Manyara watakiwa kushirikiana

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Quinee Sendiga amewataka wachimbaji wa madini katika Mkoa wa Manyara kushirikiana katika kufanya kazi za…

Soma Zaidi »

Benki ‘yawamwagia’ walimu mitungi ya gesi

ARUSHA: Katika kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani 2024, Exim Bank Tanzania imechangia jumla ya mitungi ya gesi 1,000 kwa walimu…

Soma Zaidi »

REA waitika Samia Kilimo Biashara Expo 2024

GAIRO, Morogoro: WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) itashiriki katika Maonesho ya Samia KILIMO Biashara Expo 2024 kwa msimu wa tatu…

Soma Zaidi »

Wajadili uchorongaji visima Mnazi Bay

MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imekutana na uongozi wa Kampuni ya Maurel et Prom Exploration Production…

Soma Zaidi »

Wachimbaji wadogo Geita waja kivingine

GEITA; CHAMA cha Wachimbaji Wadogo Mkoa wa Geita (GEREMA), kimekuja na mikakati mipya kuwezesha sekta ya madini inaendelea kupiga hatua…

Soma Zaidi »

‘Tumuunge mkono Rais, matumizi ya Nishati Safi’

KATAVI: NAIBU Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Christina Mndeme ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Katavi…

Soma Zaidi »

Serikali yavuna tril 1.8 sekta ya uzinduaji

DAR-ES-SALAAM : SERIKALI imepata  jumla ya shilingi Trilion 1.877 kutoka  kwenye kampuni 44  zilizolinganishwa katika sekta ya madini, mafuta na…

Soma Zaidi »

Serikali kuvutia wawekezaji mafuta gesi

MTWARA : NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dk. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na…

Soma Zaidi »

Gesi yajenga kituo cha afya na polisi

MTWARA: WANANCHI wa Msimbati, Wilaya ya Mtwara mkoani humo mbioni kunufaika na ujenzi wa kituo cha afya na kituo cha…

Soma Zaidi »

THBUB yathibitisha hakuna ukiukaji

MARA : TUME  ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imebainisha kuwa  hakukuwa  na ukiukwaji wowote wa haki za…

Soma Zaidi »
Back to top button