Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Samia ataka Uzalendo Sekta ya madini

DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea na mikakati ya kuiboresha sekta ya madini ikiwa ni pamoja na kuwafanya…

Soma Zaidi »

Samia katika ukaguzi wa mitambo ya madini

DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan akikagua baadhi ya mitambo iliyotolewa na Wizara ya Madini kwa Shirika la Madini la Taifa…

Soma Zaidi »

DC Bukombe aipongeza kampuni ya madini

MKUU wa Wilaya ya Bukombe, Said Nkumba ameipongeza kampuni ya madini ya ESAP kwa kutoa msaada wa vifaa vya elimu…

Soma Zaidi »

Wapigwa marufuku kuajiri watoto migodini

WAMILIKI migodi ya madini wilayani Mbogwe wametakiwa kuacha mara moja tabia ya kuajiri watoto wadogo kushiriki shughuli za migodini kwa…

Soma Zaidi »

Mavunde aitaka GGM kuimarisha mahusiano na jamii

GEITA: WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Geita Gold Mine(GGM) kuimarisha mahusiano na jamii inayozunguka mgodi ili wananchi…

Soma Zaidi »

Serikali yaweka mkakati kutatua mgogoro wa miaka 20

GEITA: SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imeweka mkakati wa kuhakikisha inatatua mgogoro wa muda mrefu uliodumu zaidi ya miaka 20…

Soma Zaidi »

Mavunde amaliza mgogoro wa wachimbaji wadogo Chamwino

DODOMA: WAZIRI Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amemaliza mgogoro wa wachimbaji wadogo wa madini uliodumu kwa mwaka mmoja katika Kitongoji…

Soma Zaidi »

Utafiti kubaini maeneo yenye mafuta wakamilika

SINGIDA: MRADI wa kuchukua data za mitetemo za 2D katika kitalu cha Eyasi Wembere umefikia mwisho huku wataalamu wakieleza kuwa…

Soma Zaidi »

Nishati isiyochafua mazingira kuipaisha Tanzania

DSM; TANZANIA imetajwa kuwa na nafasi kubwa ya kuwa mzalishaji wa wa nishati safi isiyochafua mazingira kupitia madini ya graphite,…

Soma Zaidi »

Mavunde: GST imeiheshimisha sekta ya Madini

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imeiwezesha sekta ya madini kupiga hatua kiuchumi ikiwemo…

Soma Zaidi »
Back to top button