Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Ushirikiano wachimbaji madini kuimarisha soko

WACHIMBAJI wa madini mkoani Kigoma wametakiwa kuunda umoja na ushirikiano na wachimbaji na wanunuzi wa madini kutoka nchi za ukanda…

Soma Zaidi »

Ufafanuzi mgawanyo fedha uchimbaji madini

DOLA milioni 100 zinatumika kwenye uchimbaji mkubwa wa madini huku Dola milioni 10 mpaka Dola milioni 99 ni uchimbaji wa…

Soma Zaidi »

Mgogoro mgodi Simanjiro waingia sura mpya

SAKATA la mgogoro wa mgodi wa Gem & Rock Venture uliopo Kitalu B katika Madini ya Tanzanite Mirerani wilayani Simanjiro…

Soma Zaidi »

‘Tumieni vituo vya umahiri kutoa mafunzo kwa wachimbaji’

WIZARA ya Madini imeendelea kutumia vituo vya umahiri kutoa elimu na mafunzo ya kisasa kwa wachimbaji wadogo. Miongoni mwa mafunzo…

Soma Zaidi »

Ataka ufafiti maeneo mengine ya madini

NAIBU Katibu  Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo  ametoa wito kwa  Kampuni ya Stamigold kupitia Mgodi wa Biharamulo Mine,  kushirikiana…

Soma Zaidi »

Biashara ya madini yazidi kupaisha mapato

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Yahya Samamba amesema kuanzia kipindi cha Julai 2022 hadi Machi, mwaka huu, biashara ya…

Soma Zaidi »

Maonesho wachimbaji wadogo yaanza Mwanza

ZAIDI ya wachimbaji wadogo 2,000 wameanza maonesho ya bidhaa zao yatakayodumu kwa wiki moja jijini hapa, huku wakielezea maendeleo yanayofanyika…

Soma Zaidi »

TAMIDA yaipongeza serikali uuzaji madini nchini

CHAMA cha Wafanyabiashara wa Madini Nchini (TAMIDA), kimeipongeza serikali kwa kurejesha utaratibu wa awali wa madini ya Tanzanite kuuzwa kwenye…

Soma Zaidi »

Vita Urusi na Ukraine yaathiri biashara ya madini

WIZARA ya Madini imelieleza Bunge kuwa vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine imeathiri biashara ya madini duniani. Waziri wa…

Soma Zaidi »

Masoko ya madini yaingiza Sh trilioni 1.7/-

WAZIRI wa Madini, Dk Doto Biteko amesema masoko ya madini yameingiza Sh trilioni 1.68 kutokana na mauzo ya madini katika…

Soma Zaidi »
Back to top button